Recent content by One second

  1. One second

    Balo la viatu vya Mtumba

    VP mkuu, naomba unisaidie details za hapo na napanda gari za wap kutokea stand kuu. Na muda mzuri wa kupata viatu vikali . asante
  2. One second

    Ambao tuna matukio ambayo hatutayasahau hadi kifo tukutane hapa

    Haujashikwa na kizibiti chochote mlikubari VP kutoa M3
  3. One second

    Njaa mbaya sana; Ni jambo gani la hatari uliwahi fanya ulipokumbwa na njaa?

    Katika harakati za maisha niliingia kwenye uvuvi. Siku moja tulipotea kwenye maji siku mbili asee ilibaki kidogo tu njaa iniue
  4. One second

    Mwanza: Mwalimu adaiwa kuwa na mahusiano na Wanafunzi 3 huku akilala na wawili kwa wakati mmoja kitandani

    Tatizo sio kumkataa, hilo ni kosa LA jinai afunguliwe mashtaka na sio kujichukulia maamuzi.
  5. One second

    Madaktari waeleza umuhimu wa nywele sehemu za siri

    Watu wanabishana na daktari bingwa wa magonjwa ya mfumo wa mkojo, bila ya kufanya utafiti wowote !.
  6. One second

    Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

    Naona kama nimeisoma kwa one second tu. Labda ni nZuri sana ndomana nimeiona fupi. Anyway good story. ASANTE
  7. One second

    Katika intelijensia, sayansi haisemi uongo

    Kutoacha alama ni ngumu. Ni ngumu unaweza usiache finger print, footprint, damu. Lkn ukagundulika kwa style ya mauaji yalivyo fanyika(style yako ya kuua)
  8. One second

    Nimepanga kwenda kuishi Msituni/Porini sana

    Bila kusahau mbwa kwa ajiri ya ulinzi.
  9. One second

    Anayopitia mdogo wangu wa kike siyo sawa na umri wake, inaniumiza sana...

    Pole asee nimesoma hii habari kwa masikitiko makubwa. Haujachelewa kama unampenda Dada. Fanya jambo,
Back
Top Bottom