Salamuni wanaJf,
Kama rais mtaraji wa Tz (2030), natanguliza pole kwa watz wote kwa vifo vya wapendwa wetu mabalimbali vinavyotokana na ujinga, umaskini na maradhi. Naumia sana moyoni mwangu ninapoona nchi yangu inaharibiwa mbele ya macho yangu.
Naangalia kwa undani sana jinsi ya kuondoa...
Ahh!,
Inauma sana hii.
Siku inakuja, nitakapohakikisha damu na maisha ya kila raia wa nchi hii yanapewa uthamani wote. Maisha ni zaidi ya dhahabu. Maisha ya kila raia ni muhimu sana kuliko wanyamapori na rasilimali zote. Hapa ilipofika haivumiliki,
O my God, have mercy on Tanzania and...
Washeshimiwa,
Salamuni,
Kwa sababu kampuni ya ulinzi ya Ulaya, BAE Systems imesema italipa fidia ya sh. billion 67.29 zilizobaki katika manunuzi ya Rada, na kwa sababu tayari kuna mtafaruku kati ya kampuni (ikitaka kulipa kupitia NGOs) na serekali ya Tanzania (ikitaka isipangiwe jinsi ya...
Ee Baba wa Mbinguni,
Naomba iwe hivyo kama mnenaji huyu alivyosema.
Sema tu Ee Bwana maana mimi mtumishi wako (Onambali) nitakusikia. Pasipo maono watu huangamia. Ee Mungu uliyefunua matumizi sambamba ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana kupitia kwa huyu mtu aliyejiita Ufunuo wa Yohana, naomba...
Wana JF,
Nawasalimu.
Baada ya kutangaza nia yangu ya kuomba ridhaa ya kuwa rais wa nchi yetu mwaka 2030, nimeulizwa maswali mengi sana mojawapo nilitakiwa nitaje chama changu cha siasa.
Kusema kweli kabisa, mimi bado sijawa mwanachama wa chama chochote cha siasa.
Mheshimiwa rais wa kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.