wadau nisaidieni maana ya neno "network" relationship in an enterprises | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wadau nisaidieni maana ya neno "network" relationship in an enterprises

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Sendeu, May 22, 2011.

 1. S

  Sendeu Member

  #1
  May 22, 2011
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tafadhali msaada wenu ni muhimu sana asanteni
   
 2. Onambali

  Onambali Member

  #2
  May 22, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  'mtandao' uhusiano/ubia katika biashara
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  unataka kujua maana ya sentensi inayosema network relationship in an enterprise

  au unataka kujua maana ya neno "network"

  au unataka knujua maana ya neno "netwok" in relation to an enterprise
   
 4. S

  Sendeu Member

  #4
  May 22, 2011
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nataka kujua maana ya sentensi nzima km nilivyoiandika hapo juu ht kwa tafsiri ya kiingereza itakuwa sawa tu nitashukuru sana
   
 5. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ngoja nikueleze kwa kirefu kidogo.
  Survival ya business inategemeana saana na networking ingawa hata kwenye aspects nyingine inaholds. Sasa ukiwa na mtendao kwenye entreprise kuanzia suppliers, bankers, customer nk, then from there ndio unaangalia benefit gani zinaweza kupatikana kutoka huko km loans, stable market etc. Kwahiyo network relatiomship inatumika kama means ya kusaidia business sustainability through trust, information sharing, credit rating analysis (measure of default), potential competitors, feedback from customers etc.
   
Loading...