Recent content by OMWENE

  1. OMWENE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuolewa na mwanajeshi

    Uamuzi ni wako tu ni binadamu kama wengine
  2. OMWENE

    JamiiForums Tanzania HIV rapid test

    Kweli kazi ipo, watu wanataka kupora taaluma za wenzao!
  3. OMWENE

    JamiiForums Tanzania Kuja pm

    kweli jukwaa limevamiwa
  4. OMWENE

    JamiiForums Tanzania Jionee madhara ya usanii juu ya Katiba pendekezwa

    kumbe na wewe umeona, inawezekana hajui hata kusoma maana hata kitabu kinapakuanzia
  5. OMWENE

    JamiiForums Tanzania Basi la Sharon linalofanya safari za Arusha - Dodoma, limepata ajali Arusha Airport

    Hizi yutong inabidili kufanyiwa utafiti wa kasi na barabara zetu pengine hazihimili
  6. OMWENE

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo: Nimeshafanya uamuzi

    yetu macho kuna nani kachota pesa za kampeni maaana hawa watu ni mchwa
  7. OMWENE

    JamiiForums Tanzania Watu wa usalama wa taifa fuatilieni huu uhuni unaofanywa na vijana wa Lowassa

    wewe hujasaini au ulitoswa
  8. OMWENE

    JamiiForums Tanzania Mungai: Msinilishe Maneno,Shule za kata ni Ubunifu wa Rais Kikwete na Lowassa

    hivi huyu mungai si ndiye aliua masomo ya sayansi, biashara ,ufundi na kuanzia ujinga hapa Tanzania?
  9. OMWENE

    JamiiForums Tanzania Tochi za kupima mwendo(speed) zinatumika vibaya Mdaula

    nitaleta majibu baada ya kujaribu
  10. OMWENE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nanyimwa unyumba eti kisa na mgegedeo mkubwa!

    Hudhuria jado maana mambo mengine hayana msaada labda mtu wako akusaidie kwa kujibidisha kwani kichwa cha motto kinapita iweje dushelele yako tu au tumia mafuta ya YK
  11. OMWENE

    JamiiForums Tanzania Airtel Modem msaada jamani

    Natumia modem ya airtel model MF 190 tatizo inakuwa inakata sana hadi niondoe na kuconnect upya tatizo ni nini? na nifanyanye nini ili kuondokana na tatizo hili maana bundle hupotea kama nadownload chochote pindi inapo disconnect.
  12. OMWENE

    JamiiForums Tanzania Kero kutoka kwa watumishi wa NMB tawi Dodoma

    mimi nilipata majanga baada ya kutuma pesa kwa NMB Mobile kwenda MPESA, zimetoka katika akaunti ila mhusika hakuchukua. Kila nikipiga namba hizo za huduma kwa wateja naambiwa tatizo litaripotiwa hadi leo bado linaripotiwa mpaka sasa nimeamua kutulia maana gharama ya kufuatilia inaweza kuwa sawa...
  13. OMWENE

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya uke wa mke wangu

    KY inapatikana katika hospital hutumiwa sana kuingiza catheter kwa wanaume wanapokuwa na tatizo la mkojo
  14. OMWENE

    JamiiForums Tanzania Mbunge Wenje kuburuzwa Mahakamani kesho kwa uchochezi!

    wale watalaam wa kupangua kesi watakuwepo? yaani Tundu Lissu na wenzake
  15. OMWENE

    JamiiForums Tanzania Nini hasa tatizo linalowakumba wasomi wetu bongo?

    Bongo hata wasomi upeo wao unaminywa hata wajitahidi hawaungwi mkono ktk tafiti.Ndio maana wanakimbia majukwaa ya siasa .profesa Msolwa wapi?
Back
Top Bottom