Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,980
kama prof muhongo katangaza nia mwaka huu na mimi ni napiga kura
Sospeter Muhongo.
Lowasa na Muhongo wote hawana sifa za kugombea uraisi majizi yote hayoHapo ni kutaka kupunguza kura za Lowasa,lakini hamuwezi
Mpaka october ifike,tutashudia mengi sana!
alimdharau sana Mengi bila Mengi ni mtu makini sana hata JK anamjua .dharau na kiburi vya Prof.Muhongo leo yuko wapi ndo ameshakufa kisiasa tayariHuyu Mhongo dawa yake ni Reginald Mengi wa IPP basi. Hapo kwisha kabisa.
Mpeni moyo, pengine atachaguliwa na maprofesa wenzake.
Nchi hii ni ya ajabu sana. Hasa katika kipindi cha miaka kumi iliyopita imepanda chati sana katika maajabu yake. Ukitaka kuwa maarufu hapa ni kuhujumu nchi na kutengeneza mjadala wa kukujadili na mwisho hata kama utafukuzwa au kujiuzulu basi wewe ni shujaa na unastahili kujinadi kuwa waweza kuongoza nchi. Maana yake ni nini? Maana yake ni kuwa ni nchi ya mazuzu ambao kwao mwizi na mfisadi maarufu ni mtu makini. Mfano ni hata ule wa Lowasa, hao hao CCM walimwita fisadi,gamba na majina mengi lakini leo ndio wanapigana vikumbo kwenda kumbeba eti awe kiongozi!
TUMELOGWA.
"Nimeshafanya uamuzi kuhusu suala la Urais katika uchaguzi ujao. Ninachosubiri ni chama kutangaza ratiba"
"Nimeshafanya uamuzi kuhusu suala la Urais katika uchaguzi ujao. Ninachosubiri ni chama kutangaza ratiba"
Akituambia UKWELI juu ya sakata la ESCROW na nani alimshawishi wajichotee kwenye hiyo account,tutamfikiria kidogo.