natumaini na wewe ni msosi kama hao unaozungumzia,umekariri,nani kakwambia biashara ya bajaj,bodaboda,maduka ya vipodozi,stationary ni ya wasiosoma???hakuna biashara ya asiesoma na aliesoma,jinsi unavyoendesha biashara yako ndio ita-judge either unaendesha kisomi au ki-mburula kama unavyosema.......mfano KFC na MANGI MUUZA CHIPS KUKU MTAANI KWETU,wote wanafanya biashara moja ya kuuza chips na kuku,lakini jinsi wanavyoendesha biashara zao ndio sababu ya KFC kuwa KFC na muuza chips wa mtaani kuwa alivyo.
Mkuu Mandokwa unayosema ni KWELI KABISA. MIMI nimesoma ujerumani nina shahada ya mech engineering. nimefanya na makampuni ya kijerumani, kimareakani nk. nimedevelope baadhi ya products ambazo ziko kwenye soko ulimwenguni nk. nimewahi kuja hapa Dar kutafuta workshop nzuri ili niweze kuwapa kazi ya kuzalisha mechanical pieces ili baadae nikafanye assembling ulaya. motivation ilikuwa kuwapatia ajira ndugu zangu watanzania pamoja nakuwa prod costs bado ni za china sana hapa. maajabu ni kwamba hata prof niliyekutana naye jina ninarihifadhi alisema hapa hakuna chochote. nikaambiwa labda niangalie workshop za Arusha, hata hivyo standard zao ni za chini. nikaambiwa niwaone SIDo hapo ndo nilicheka mapka bavu zikaniuma. sasa nenda UDSM mechanicl engineering department, prototypes zao ni za wakati wa stone age!!! wasomi wetu they cannot deliver at all, waambie paper work ili wapate hela za bure. huo ndio ukweli. njia bado ni ndefuWakuu wanajf,
nalazimika kuwauliza leo kuhusu wasomi wetu hapa bongo. Hasa swali langu linahusisha uwezo wao wa kufikiri na kuamua.
Nimekuwa nikifuatilia mara kadhaa pale linapotokea suala la kitaifa or kimataifa ambalo lingehitaji wasomi wetu watoe tafsiri ya mambo huwa siwaoni. Pia yanapotokea maswala ambayo yanahitaji wasomi wawafumbue macho wajinga unakuta nao wamehusika . Natoa mifano mitatu tu kwakuwa sina muda wa kutosha:-
1. Ujio wa deci; walioliwa wengi ni pamoja na maprofessor wa uchumi
2. Babu wa loliondo; amekula pamoja na madaktari na maprof na wasomi wenye degree zao
3. Mafuta ya ubuyu nk.. Wasomi kadhaa wamekunywa bila hata kuhitaji scientific evidence ya ubora wake
4. Maisha ya mtaani wengi wasomi wanaishi na kufanya shughuli zile zile za wasiosoma. Mfano wote tunafungua bajaji na boda boda, cosmetics, staionaries.. Ningetegemea wasomi hasa wa uchumi na biashara watupe mfano sisi mburula.
5. Ukienda kwa bagamoyo ushirikina pamoja na wasomi wanaogombea vyeo wamo kibao.
Sasa huwa nashindwa kupata jibu as to what has happened with their education? Nimeshuhudia kwamba hii haijalishi kasoma bongo or kaja kutoka ughaibuni. Kwakuwa humu jf wamo pia nawauliza maana ya kujidhalilisha nini chanzo cha haya yote? Mmekariri au mlisomea vyeti, au mmelogwa au wavivu wa kujiendeleza na kubuni mambo ? Au ... Au ... Au .. Hamkuelimika?
Mandokwa
Mkuu Mandokwa unayosema ni KWELI KABISA. MIMI nimesoma ujerumani nina shahada ya mech engineering. nimefanya na makampuni ya kijerumani, kimareakani nk. nimedevelope baadhi ya products ambazo ziko kwenye soko ulimwenguni nk. nimewahi kuja hapa Dar kutafuta workshop nzuri ili niweze kuwapa kazi ya kuzalisha mechanical pieces ili baadae nikafanye assembling ulaya. motivation ilikuwa kuwapatia ajira ndugu zangu watanzania pamoja nakuwa prod costs bado ni za china sana hapa. maajabu ni kwamba hata prof niliyekutana naye jina ninarihifadhi alisema hapa hakuna chochote. nikaambiwa labda niangalie workshop za Arusha, hata hivyo standard zao ni za chini. nikaambiwa niwaone SIDo hapo ndo nilicheka mapka bavu zikaniuma. sasa nenda UDSM mechanicl engineering department, prototypes zao ni za wakati wa stone age!!! wasomi wetu they cannot deliver at all, waambie paper work ili wapate hela za bure. huo ndio ukweli. njia bado ni ndefu
Nimefurahia ujumbe wako. kelele na kulalamika kwingi bongo. wavivu na walafi. Nenda nyumbani kwa prof utakuta glass za wine tu na fridge hukuti hata kitabu kimoja cha kujisomea. maprofessor wanasubiri udaku wa magezeti yetu ndio nao waongee. hawana jipya. Mimi nilisoma cheti pale Mzumbe ya morogoro kule kuna maprof ambao hawajawahi kutoa hata mchango wa maana kijamii. hata sua utakuta kila siku wanaleta panya wa kutegua mabomu na wazungu wanawacheka kwani hao wazungu wenyewe wanatafiti viu vya maana huku kwetu tunahangaika na panya panya panyaa kila mwaka.
Mandokwa hongera umeliona, hawana elimu bali wana vyeti tu na kupanga mipango hewa. maneno mengi ukimpa atekeleze ni sufuri.
Bongo hakuna wasomi waganga njaa tu
nadhani wasomi wa ccm ndo majanga,angalia mikataba wanayoingia,hoja zao bungeni ie mwigulu,pr maghembe,kigoda,limbu etc
tatizo tanzania mtu akigraduate tu anajiona expert, wakati ndio kwanza anatakiwa kuchagua specific area kwenye taaluma yake ili aanze kubobea. Matokeo yake wasomi wanajenga ego inayofanya washindwe kujifunza.
We wafuatilie hata hapa jf unakuta kijitu kimegraduate miaka mitatu iliyopita, tayari kinajiona consultant!
Yupo mmoja anajiita expertbroker ni msomi anayeamini kwamba mikoani apartments hazihitajiki. Sasa unadhani msomi wa namna hii anaweza kubuni kitu kipya?
watu wanataka wanunue gari used toka japan, kila jumamosi wanahudhuria harusi, jumapili vikao vya harusi, wakitoka hapo jioni bar kwenye magenge ya kuilalamikia serikali na viongozi, basi maisha yanasonga.
Wewe unapotoa mifano uwe unafikiria mara mbili..
Hivi unaijua KFC wewe au unaongea.. Nitajie kampuni yeyote Tanzania inayofikia profit ya KFC...
KFC ana branch zaidi ya 33,000 kwenye cities zaidi ya 90 duniani na ameajiri mamilion ya watu wewe unafananisha na muuza chips..
Bongo NMB, Tanesco, Halmashauri ndio zipo kila sehemu nchini lakini ana branch 150 tu, wakati KFC ana branch 33,000 wewe unamfananisha na mangi muuza chips
KFC yupo level za kina Sony, Toyota, Cocacola, Pepsi yaani makampuni makubwa duniani..
Wasomi wa kitanzania ndio wanabanana kwenye biashara hadi za chips mayai
kwahiyo wanapoenda loliondo or kucheza deci or mengineyo wameagizwa or wanatekeleza sera za serikali au binafsi? tumia muda wako kuchambua please.Serikali yetu kwa sasa inaongozwa na ccm na kila ofisi ipo kwa mujibu wa sisiemu, hapo kumbuka vizuri mkuu. Nawasilisha