Recent content by OMUWANGA

  1. O

    Tamisemi na wizara ya elimu tunaomba mtoe tamko kwa sisi tulio kosa ajira

    Wabongobtuna visa kila kitu tamko jiongeze mwanawane kusoma sio lazima uajiliwe na serikali ni kuongeza uelewa na mwanya wa kutafuta mwenyewe.
  2. O

    Majani abadili dini afunga ndoa (picha)

    Hana iman na din yake so hata huko alikoenda yanaweza mshinda akahama tena simama na imani yako majani mungu wetu ni mmoja ila tu binadamu tunamtofautisha majina.
  3. O

    Muongo Vs. Mengi. Kimenuka !

    Mmmh..mchanganuo mzuri. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  4. O

    Mgomo wa Simu Utafeli...

    Jaman wa Tz tuamke kwa nini kila cku sisi tunatumiwa na watu.Hata katika familia baba anapoamua maamuzi tofauti huji kusikia watoto wanaandamana kwa kukataa kufanya kazi za nyumbani au vitu vingine vinavyohusiana na kuijenga familia but huwa baba akikaa akitulia watoto au mtoto mkubwa huenda...
  5. O

    Nikiota msiba,haichukui muda unatokea..

    Ndugu yangu Sali sana na kufunga kwa moyoy mmoja huku ukimuomba mwenyezi mungu akuepushe na hayo majaribu Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  6. O

    Kesho asubuhi mbunge msigwa kufikishwa mahakamani, makamanda jitokezeni kwa wingi iringa.

    Akili ya kuambiwa changanya na yako utapata jibu lililokamili na lenye manufaa kwako na kwa jamii yako nzima ikuzungukayo na kuketegemea wewe kama baba au mama, kaka au dada. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  7. O

    Nipo njia panda naombeni ushaur

    Usikilize moyo wako macho kazi ni ktamani tu na kuacha Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  8. O

    I only wanted simple life but always bad luck in my side

    Pole sana mwanadada ndo maisha ila usikate tamaa mwenyezi mungu yu pamoja nawe na majaribu mengi jua ufame uko mbele so kuwa mvumilivu tu one day yote hayo utayaona mapito ndugu yangu but but I wish kupitia hapa utapata msaada tu Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Back
Top Bottom