Recent content by Omusundi

  1. Omusundi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuoa nina miaka 25 awe na kazi coz mm mwenyewe nina kazi

    Mpum.bavu wewe Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Omusundi

    JamiiForums Tanzania Rais Lungu: Ni lazima kila mtu apimwe ukimwi

    Ni wazo zuri Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Omusundi

    JamiiForums Tanzania Cha kula bora cha kula mchana ni kipi...?

    Kama mimi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Omusundi

    JamiiForums Tanzania Maelezo rasmi kuhusu ajira za TANESCO kwa wale waliosailiwa

    Ndugu zangu kuna nafasi za kazi kada mbalimbali zilitangazwa na TANESCO. Vijana waliitwa wakaenda kufanya usaili. Lakini cha kushangaza tangu mwezi wa tano, sita na wa saba vijana hawa wamefanyishwa usaili na kuahidiwa majibu ndani ya wiki mbili hamna lolote lililotokea. Ikumbukwe sasa...
  5. Omusundi

    JamiiForums Tanzania Diwani wa Ambulen, Arumeru abwaga manyanga! Atangaza kumuunga mkono Rais Magufuli

    Hii filamu imewahi kutoka, nadhani muandaaji katamani alipwe chake mapema. Produza ameshindwa nini kusubiri na kuirelease 2019 au 2020 mwanzoni? Mbona sasa hivi kuna singo bado zinatamba sana kama Makinikia na Escrow?
  6. Omusundi

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Nyumba

    hiyo hapo
  7. Omusundi

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua ngazi za mishahara Tamesco

    Nina mdogo wangu Wa kiume amemaliza diploma ya umeme 2015 pale Arusha Tech. Kwa sasa anafanya kazi kama Technician kampuni moja ya wahindi. Sasa kuna hizi nafasi za Tanesco walitangaza nilikuwa napenda kujua ngazi za mishahara yao kabla hajaenda kufanya kazi huko.
  8. Omusundi

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mke mdogo wa Mzee Yusuph afariki dunia wakati akijifungua

    Pole sana mzee Yusuph
Back
Top Bottom