Maelezo rasmi kuhusu ajira za TANESCO kwa wale waliosailiwa

Omusundi

Member
Jun 16, 2017
9
4
Ndugu zangu kuna nafasi za kazi kada mbalimbali zilitangazwa na TANESCO. Vijana waliitwa wakaenda kufanya usaili.

Lakini cha kushangaza tangu mwezi wa tano, sita na wa saba vijana hawa wamefanyishwa usaili na kuahidiwa majibu ndani ya wiki mbili hamna lolote lililotokea.

Ikumbukwe sasa hivi kuna taratibu za kujiunga na vyuo vikuu na kuna vijana walifanya usaili kwa nafasi za diploma na Certificate wapo njia panda maana hawajui hatima yao,

Unaweza ukapoteza pesa kuomba chuo hlf ukaitwa kazini au unaweza kuacha kuomba chuo kumbe hujapata kazi.

TANESCO wana ID yao humu ni vizuri watoe ufafanuzi juu ya hili ili kuondoa sintofahahamu hiyo.

Lkn pia kama kuna mwenye kujua sababu karibu utuhabarishe maana huenda ni bajeti, au watu washaanza kazi au ajira zimefutwa.

Ikumbukwe taarifa ni haki ya kila mtu, kama uliitisha mtu jutika Msoma mpaka Kigoma akakaa siku tano gesti halafu hutaki kutoa majibu hiyo ni sawa na kumsajiri mwanafunzi kwenye chuo feki.

Asanteni na karibuni kwa mjadala huru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelezo rasmi nenda TANESCO kwa HR sasa humu atakaekupa maelezo rasmi ni nani.Wewe kama unataka kwenda chuo nenda tu ajira hailazimishwi mda ukifika watashotlists tu.
 
AHAHAHA KUMBE TANESCO HAWAJAITA KAZINI HADI LEO?

LAKINI KAMA WALISEMA NDANI YA WIKI NA HUJAITWA KAZINI MAANA YAKE HUJASHNDA USAILI.
 
Ndugu zangu kuna nafasi za kazi kada mbalimbali zilitangazwa na TANESCO. Vijana waliitwa wakaenda kufanya usaili.

Lakini cha kushangaza tangu mwezi wa tano, sita na wa saba vijana hawa wamefanyishwa usaili na kuahidiwa majibu ndani ya wiki mbili hamna lolote lililotokea.

Ikumbukwe sasa hivi kuna taratibu za kujiunga na vyuo vikuu na kuna vijana walifanya usaili kwa nafasi za diploma na Certificate wapo njia panda maana hawajui hatima yao,

Unaweza ukapoteza pesa kuomba chuo hlf ukaitwa kazini au unaweza kuacha kuomba chuo kumbe hujapata kazi.

TANESCO wana ID yao humu ni vizuri watoe ufafanuzi juu ya hili ili kuondoa sintofahahamu hiyo.

Lkn pia kama kuna mwenye kujua sababu karibu utuhabarishe maana huenda ni bajeti, au watu washaanza kazi au ajira zimefutwa.

Ikumbukwe taarifa ni haki ya kila mtu, kama uliitisha mtu jutika Msoma mpaka Kigoma akakaa siku tano gesti halafu hutaki kutoa majibu hiyo ni sawa na kumsajiri mwanafunzi kwenye chuo feki.

Asanteni na karibuni kwa mjadala huru

Sent using Jamii Forums mobile app
umejaribu kwenda kuulizia au kuuliza wezio waliofanya usahili
 
Back
Top Bottom