Recent content by omunatta

  1. omunatta

    Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

    Yawezekana kabisa hiki chama.kina matatizo yake kama kilivyo chama.kilichopo madarakani, lakini kama tunafikiria kukiondoa ndio suluhu ya matatizo yanayotukabiri kama nchi basi ni dhahiri shahiri tumechanganyikiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. omunatta

    Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!

    Kumtuhumu mtu kwenye kanuni ya adhabu ni kifungu namba ngapi..? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. omunatta

    Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

    Nasema hivi leo vihiyo ni bilabila [emoji23][emoji23][emoji23] tunaona comment fupifupi tu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. omunatta

    Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

    Leo mmepigwa chenga ya mwili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lugha iliyotumika naamini kabisa mmeita wakalimani Sent using Jamii Forums mobile app
  5. omunatta

    Ukweli mchungu kuhusiana na mradi wa Stiegler's Gorge

    Naungana na mtoa mada inawezekana kabisa ni kweli, nakumbuka siku tunazindua mfugale bridge pale tazara rais alisema tena kwa hasira kabisa kuna watu wanajiita wasomi wamekuja na mapendekezo ya hovyo. I remember this statement Sent using Jamii Forums mobile app
  6. omunatta

    Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

    Yani kwa namna ulivyoandika hapa unajitanabahisha wewe ni wanamna gani Sent using Jamii Forums mobile app
  7. omunatta

    Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

    Heheheee tulieni dawa iwaingie Sent using Jamii Forums mobile app
  8. omunatta

    SERENGETI: Askari Polisi afariki kwa kujirusha kutoka kwenye gari lililobeba mahabusu

    Ila kwa haya police wanayotufanyia wananchi...acha tu nimtakia safari njema
  9. omunatta

    Mbona Mzee wa Komesho(AY) hakumualika Crazy GK kwenye harusi yake?

    Jamani acheni porojo,kama jambo huna uhakika nalo tuliza mtima.na ufanye uchunguzi kabla hujakurupuka, Gk alialikwa na alikuwepo mwanzo mwisho
  10. omunatta

    Ndinga mpya ya Mbwana Samatta

    Acheni wanga basi...ukiongea hapa utadhani wewe ume invest chochote kumbe karaghabao tu[emoji23] [emoji23] ukiwa na fedha unaishi ndoto zako, kumiliki gari sio jambo baya kama una uwezo wa kununua na mambo yako yakawa bado super, najua investment za samatta kwa kiasi hicho nachokijua toka...
  11. omunatta

    Kama ulishawahi kunywa chai ya kuunguza Sukari tukutane hapa

    Kuna watu huwa nawaangalia siku hizi za usoni nasikitika tu, nimekua ugali na maji ya sukari aisee ndo maana nikijiangalia hapa nilipo sasa naamua kula maisha maana huko nyuma wazee ndo wanajua
  12. omunatta

    Kama ulishawahi kunywa chai ya kuunguza Sukari tukutane hapa

    Touching story aisee nimeyafanya haya hapo kale, kuchoma sukari kama mbadala wa majani, kupaka sabuni daaa haya maisha haya
  13. omunatta

    Tetesi: Inasemekana hali ya Steve Nyerere yazidi kuwa mbaya aomba kama kuna aliyemloga amsamehe

    Ila huyu steve nae amechangia pakubwa sana kutufikisha hapa tulipo...kila mtu apambane na matatizo yake,
Back
Top Bottom