Recent content by omukulu

  1. O

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Kinga (Kondomu): Yupi anayeamua itumike au isitumike, Mwanaume au Mwanamke?

    cha msingi no tujali afya zetu, ila mwanaume ndio anaweza kuamua kutumia au la
  2. O

    JamiiForums Tanzania Degree ya full time vs Degree ya open university

    open inatambuliwa na TCU , na in chuo kikuu kama vingine sema usipojitambua pale kutomaliza nje nje, ajira unapata kama ufauru unaruhusu
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kikwete aitaka ofisi yake kufanikisha mazungumzo kati ya Seif na Mkuu wa majeshi Davis Mwamuyange

    Wamwachie Seif nchi, kwani iko wazi yeye ndio mshindi
  4. O

    JamiiForums Tanzania Walimu walioajiliwa 2011

    Kwa wale wahusika au anayefahamu, itakuwaje kupanda daraja maana ilikuwa tupande mwezi wa saba na vipi huko uliko wametoa barua?
  5. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mumewe ana maumbile makubwa, mkewe anaumia wakati wa tendo la ndoa

    Ndogo tatizo na kubwa pia
  6. O

    JamiiForums Tanzania Hivi hii dhambi inaweza kuniepuka?

  7. O

    JamiiForums Tanzania Kweli mtalaka hatongozwi

    Inabid ukapime usijisifu tu.
  8. O

    JamiiForums Tanzania Ray C abadili msimamo kuhusu mwanaume wa kumuoa, asema wanaume wa mitandaoni hamna kitu

    Kila kitu na wakati wake.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Anaumia kwa mambo yake ya nyuma

    Amewatambulisha wengi mpaka wazazi wake wamechoka, kwani alianza mapema toka akiwa shuleni, na wewe jiunge kwenye mstari
  10. O

    JamiiForums Tanzania Sababu zifanyazo mabinti/wanawake kujiingiza katika tabia ya usagaji

    Wanachukua nafaka wanaziweka kwenye kinu cha mashine na kuzibadirisha kuwa unga.
  11. O

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufanya mapenzi namuoana mbaya, nifanyaje nimalize tatizo hili?

    Acha mambo ya wakubwa wewe mvulana, subiri ukue.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Namchukia Dr. Shukuru Kawambwa

    Tatizo kubwa ni kuondoka kwa mama Ngalichako pale baraza, ila ukwel ni kwamba jamaa anatekeleza ilan ya chama ya kuwa na wasomi wengi wasio na maarifa, kama yeye mwenyewe alivyo kilaza, hafai sehemu yoyote ile hata kuwa mkulima.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Tufahamishane au kujuzana kuhusiana na hili

    Ningependa kujuzwa kuwa tunaishi nje ya dunia au ndani ya dunia.
  14. O

    JamiiForums Tanzania Walimu waajiriwa wa 2011 tukutane hapa, Serikali imetusahau

    Kuna watu ufikiri wao ni mdogo sana, mfano sw...e, utafikiri anatumia ta..o kuchambua mambo, kunamahali umeelekezwa uandike utumbo wako k..nge we, back to the topic, wakuu subulini upite mwezi wa saba ndo msale, baadhi ya h/w zinaogopa kulimbikiza madeni ndo maana hazitoi barua kabla ya...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Je, Unajua?

    Kuna kaukweli kwa 85%
Back
Top Bottom