Anaumia kwa mambo yake ya nyuma

Anaumia kwa mambo yake ya nyuma

Ukwaju! Labda sijaeleza vizuri au haujanielewa
Hapana hapana
miaka 6 HUJAKANYAGA?
mbona Daladala nyingi kwanini usishuke ukapanda ingine?
mwenzako mzoefu miaka 6 HAJAKUSUBIRI
jua mapenzi ni upofu, tafuta Dar huko Arusha baridi utabebeshwa mzigo si wako
 
Mmh.. mi nimeshamwambia sitaacha kumpenda . Nadhan uwo ndo ukweli wake tu

Mpeleke kwa wataalamu wa kisaikolojia huo ndio ukweli wake hapa watu watakudanganya tu
coz wengi wao ndio wanao haribu mabinti za watu na hawajui hw much ina waffect hao mabinti na inawezekana kwa akili zake za kitoto wakt huo hilo tendo alilazimishwa ndio maana mpk leo imemuaffect.
 
Nawe sijui upoje..uchumba miaka sita alafu huji kaa injini kama ni 4WD au 2WD....usije baada ya ndoa ukarudi na uzi mwingine kuwa wife anamwaga maji au wife analala kama gogo au wife hazungushi mauono.....
 
Amewatambulisha wengi mpaka wazazi wake wamechoka, kwani alianza mapema toka akiwa shuleni, na wewe jiunge kwenye mstari
 
Kutokujisamehe wewe mwenyewe ina madhara makubwa kuliko hata kutokumsamehe mtu mwingine. Mtafutie wanasaikolojia watamsaidia sana. Ila kwa wakati huu hata wewe mwenyewe uwe unaongea naye kidogo kidogo. Binadamu hakuna aliye mkamilifu, wote tunakosea . Na ndio maana Mungu Aliweka kitu " msamaha"

Hutakiwi kuishi kwa majuto juu ya chochote ulichokifanya before. Ajisamehe na Mungu amekwisha msamehe. Duuuh inatia huruma sana. Ila all in all mambo yake aliyofanya kipindi kile asiyaruhusu kumuharibia current life yake. She needs to be free over her past life
 
unataka kuoa kabla hujatest.....amekwambia kabisa alikamatwa AKIDUU shuleni......miaka 6 urafiki....miezi 5 mahabani.....
so mlikuwa mnapiga nyeto kila mtu kivyake back 6yrs? nna hakika kila mmoja alikuwa na pozeo...kama wewe hukuwa nalo mwenzio analo pozeo na lipo mpaka leo....mambo aliyaanza mapema.....sikukatishi tamaa ila nakwambia ukweli....uwe makini sana na huo mpango wako wa ndoano....ndoa ni maisha mengine kabisa....kuwa makini na nakutakia khila la kheri....ntumie kadi ya mchango...
 
kinyangesi

Sasa braza mwanamke unaenda kumtambulisha wapi wakati wewe mwenyewe bado hujamtambua?
 
Last edited by a moderator:
Omba gemu kwanza umleeee then atasahauu tuu, la sivyo itakula kwako
 
Kutokujisamehe wewe mwenyewe ina madhara makubwa kuliko hata kutokumsamehe mtu mwingine. Mtafutie wanasaikolojia watamsaidia sana. Ila kwa wakati huu hata wewe mwenyewe uwe unaongea naye kidogo kidogo. Binadamu hakuna aliye mkamilifu, wote tunakosea . Na ndio maana Mungu Aliweka kitu " msamaha"

Hutakiwi kuishi kwa majuto juu ya chochote ulichokifanya before. Ajisamehe na Mungu amekwisha msamehe. Duuuh inatia huruma sana. Ila all in all mambo yake aliyofanya kipindi kile asiyaruhusu kumuharibia current life yake. She needs to be free over her past life
hakuna kitu inaumiza kama Baba Mzazi kukuta unakunjwa vichochoroni aisee, ni aibu kubwa sana, hawezi kujisamehe hiyo makitu mpaka rip yake
 
Kampime ukimwi...kufumaniwa mbona ninjambo la kawaida sana
 
hakuna kitu inaumiza kama Baba Mzazi kukuta unakunjwa vichochoroni aisee, ni aibu kubwa sana, hawezi kujisamehe hiyo makitu mpaka rip yake
Najua ni ngumu sana kwa fedheha aliyoipata but akipata watu sahihi wa kumuongoza, naamini ataweza kujisamehe tu taratibu. Anahitaji kujisamehe kama ambavyo anasamehe wengine wanaomkosea, bila kujali alikosea nini na mbele ya nani. It shall be well with her
 
Habari wanajamvi?
Mimi nna mwenzi wangu ambaye tumepanga kutambulishana kwa wazazi mwishoni mwa mwaka huu. Huyu binti ambaye natarajia awe mke wangu tulijuana zaidi ya miaka 6 ivi ila si kama wapenzi. Tatizo linalomsumbua ambalo nimeona niombe ushaur wenu ili nimsaidie ni kwamba alipokuwa anasoma sekondari aliwahi kukamatwa akifanya mapenzi, alifukuzwa shule na baadae wazazi waliamua kumuamisha mkoa akaendelea na kumaliza elimu yake. Sikuwahi kuijua story hii mpaka tulipokuwa wapenzi ndo aliniadithia. Amekuwa akirudia mara kwa mara kuniambia tukio lile la aibu uwa linamuumiza sana sasa hata anaogopa kuwaambia wazaz wake kuwa ana mtu anayetaka kumtambulisha ili baadae niwe mumewe. Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti kwani yupo arusha nami nipo dar, pia sijawahi kufanya nae mapenzi. Mnishauri wana Jf jinsi ya kumsaidia huyu binti kwani nampenda. Nahitaji awe huru

hapo kwenye red...kama alifanya mapenzi tu kwa hiari na hakubakwa, kwa nini aumie akiwazia?.....kuna jambo analokuficha na yeye hakupendi anashindwa kukwambia.

NB: Siri ya ndoa zinazodumu..... Usioe mwanamke anayempenda zaidi ya anavyokupenda....daima oa mwanamke anayekupenda sana kuliko unavyompenda wewe...
 
Mmh.. mi nimeshamwambia sitaacha kumpenda . Nadhan uwo ndo ukweli wake tu

kakuficha ukweli...

sema anaogopa kukuambia kuwa alibakwa na kupigwa mtungo/mande/featuring na wanafunzi wa kiume wa shule nzima kwahiyo mpaka leo anaona aibu hata kuishi duniani....ila muambie sio ishuu..hayo yalikuwa mambo ya utotoni kama ambavyo wengi wetu tulikuwa vikojozi vitandani na wengineo ambao walikuwa wanajinyea wakati wameenda kuanza nursery school.

ila tuwe wakweli...na wewe kujifanya unampeeenda mwenyewe mtoto wa watu...akikuambia alibakwa na shule nzima wewe una kifua cha kutangaza ndoa?...acha kujishembendua hapa.
 
najua ni ngumu sana kwa fedheha aliyoipata but akipata watu sahihi wa kumuongoza, naamini ataweza kujisamehe tu taratibu. Anahitaji kujisamehe kama ambavyo anasamehe wengine wanaomkosea, bila kujali alikosea nini na mbele ya nani. It shall be well with her
haya counselling officer, itabidi nikutafute nahitaji ushauri kiuno kinaniuma sana
 
Habari wanajamvi?

Mimi nna mwenzi wangu ambaye tumepanga kutambulishana kwa wazazi mwishoni mwa mwaka huu. Huyu binti ambaye natarajia awe mke wangu tulijuana zaidi ya miaka 6 ivi ila si kama wapenzi.

Tatizo linalomsumbua ambalo nimeona niombe ushaur wenu ili nimsaidie ni kwamba alipokuwa anasoma Sekondari aliwahi kukamatwa akifanya mapenzi, alifukuzwa shule na baadae wazazi waliamua kumuamisha Mkoa akaendelea na kumaliza elimu yake.

Sikuwahi kuijua story hii mpaka tulipokuwa wapenzi ndo aliniadithia. Amekuwa akirudia mara kwa mara kuniambia tukio lile la aibu uwa linamuumiza sana sasa hata anaogopa kuwaambia wazaz wake kuwa ana mtu anayetaka kumtambulisha ili baadae niwe mumewe.

Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti kwani yupo Arusha nami nipo Dar, pia sijawahi kufanya nae mapenzi. Mnishauri wana Jf jinsi ya kumsaidia huyu binti kwani nampenda.

Nahitaji awe huru

H yaani miaka 6 hamjawahi kufanya kabisaaa ......... Hivi ww na huyo mpenzi wako mna umri gani??
 
Back
Top Bottom