Kweli mtalaka hatongozwi

Kweli mtalaka hatongozwi

Na yule wa kwako nae yupo na jamaa mwingine wanakula weekend..habar ndo hiyo
 
Kama hukua bikra imekula kwako. Wenyewe waliokutangulia wakitaka wanakula vitu kama kawa.

Juzi nimekutana na wangu wa zamani. Tulipotezeana baada ya kumaliza chuo. Ameolewa na anaishi huko mkoani. Sasa hivi niko naye tunakula Eid.

Habari ndo hiyo.

She is the devil for sure.. Thanks..
 
Mkeo naye kuna lijamaa linamfumua ki roho mbaya we utanifanya huoni
 
Siku hizi jukwaa lina post za ajabu na za kitoto kweli,nadhani ni hawa graduates wa siku hizi hawana kazi kutwa wapo nyumbani na remote control mkononi
 
Inategema na mtu mwenyewe, kama hana principles ni sawa na kicheche tuu. Watu wanaoa bikra na bado wanasaidiwa na hali wao ndio wa kwanza kwa huyo mwanamke.

Mtalaka asietongozwa ni yule loose ila wanaojielewa hata ulie machozi ya damu kama alikwambia its over basi jua ndio utakula kwa macho.
 
Kama hukua bikra imekula kwako. Wenyewe waliokutangulia wakitaka wanakula vitu kama kawa.

Juzi nimekutana na wangu wa zamani. Tulipotezeana baada ya kumaliza chuo. Ameolewa na anaishi huko mkoani. Sasa hivi niko naye tunakula Eid.

Habari ndo hiyo.

Hata ukioa bikra....watu watanjunja tu.
 
Kama hukua bikra imekula kwako. Wenyewe waliokutangulia wakitaka wanakula vitu kama kawa.

Juzi nimekutana na wangu wa zamani. Tulipotezeana baada ya kumaliza chuo. Ameolewa na anaishi huko mkoani. Sasa hivi niko naye tunakula Eid.

Habari ndo hiyo.

Inabid ukapime usijisifu tu.
 
Kama hukua bikra imekula kwako. Wenyewe waliokutangulia wakitaka wanakula vitu kama kawa.

Juzi nimekutana na wangu wa zamani. Tulipotezeana baada ya kumaliza chuo. Ameolewa na anaishi huko mkoani. Sasa hivi niko naye tunakula Eid.

Habari ndo hiyo.

Kaka na wwe wako.alikuwa mtalaka wa mwenzio,so.na wenzako wanakula eid taratiiibu
 
Kama hukua bikra imekula kwako. Wenyewe waliokutangulia wakitaka wanakula vitu kama kawa.Juzi nimekutana na wangu wa zamani. Tulipotezeana baada ya kumaliza chuo. Ameolewa na anaishi huko mkoani.

Sasa hivi niko naye tunakula Eid.

Habari ndo hiyo.
na wewe mwanamke utakae muona pia atakuwa anakula eid na aliyekutangualia
 
Back
Top Bottom