Recent content by Omr

  1. O

    Mchango wa Rais Mkapa katika Mwalimu Nyerere Foundation

    Mchonga si na yeye pia aliua wengi tu.
  2. O

    Picture of The Day - Arumeru Mashariki

    Nassari: Bibi naomba kura yako Bibi:Humu kichwani kumejaa bangi siwezi kukupa kura yangu.
  3. O

    Dr Slaa kutana na Vijana kila mwisho wa mwenzi(2012/15 sept)

    kila mwezi ataongelea EPA
  4. O

    Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

    Huyu kijana anachafua jina la nyerere, Mchongo hakuwa mnafiki.
  5. O

    Sina imani na Kikwete je wewe bado una imani naye?

    Mtalialia sana mwaka huu mwisho mtanyamaza. Kikwete ndio Rais wa hii nchi na atabaki kuwa rais mpaka hapo 2015 atakapo mkabizi kiti mwanaCCM mwenzake.
  6. O

    Iran na Marekani kuipa ushindi CCM 2015

    CCM itashindwa humu JF tu sio Tanzania.
  7. O

    Mwenyekiti NEC,Jaji Lubuva atinga Arumeru,CHADEMA chunga sana

    umekosea number mangi, hapa ni Ugali wa dona na maziwa ya mgando
  8. O

    Mwanza: Ngome imara ya CHADEMA - Picha & Video uzinduzi wa campaign 11/3/2012

    Masha na Dialo sisi ndio tunawajua vizuri, CDM ingemsimamisha hata mbuzi,angeshinda. Hapo sio tatizo CCM, tatizo lilikuwa hao wapuuzi wawili, mimi binafsi ni CCM na sikumpigia kura Masha. Ndio nakwambia CDM bado haijawaelewa Wasukuma, na 2015 ndio mtajua nini nasema.
  9. O

    Mwenyekiti NEC,Jaji Lubuva atinga Arumeru,CHADEMA chunga sana

    Wewe mhutu nini? naona kiswahili tabu kidogo.
  10. O

    Arusha - Je tunaridhika na utendaji wa Godbless Lema?

    Nyie si ndio mnaegawana nae zile posho, utatetea sana huyo jambazi lakini wana arusha wanakiona cha mtema kuni.
  11. O

    Mwanza: Ngome imara ya CHADEMA - Picha & Video uzinduzi wa campaign 11/3/2012

    Nyie tatizo lenu ni bado hamjamuelewa msukuma, huoni shibuda anavyo wasumbua?
  12. O

    Mwanza: Ngome imara ya CHADEMA - Picha & Video uzinduzi wa campaign 11/3/2012

    Nyie hamjui wasukuma sio? Msimu wa pamba ukiisha watu hawana kazi,hata shibuda au Lema wakienda watu watajazana.
Back
Top Bottom