Recent content by ommymbwambo

  1. O

    Je, Mwanaume bila kuhonga hajakamilika?

    Mada nyingine ni majanga tu.kuhonga mpaka tujadili? Huo ni utashi binafs na uwezo wa mtu
  2. O

    Ndoto ya leo mmmh! Yerreuwiii!!

    Lala tena ili umalizie ndoto yako.
  3. O

    Mwenye tetesi kuhusu uhamisho wa watumishi

    Watumishi wa idara gani?
  4. O

    Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

    Sifa ingine ya hili kabila wanapenda sana vya bure ( ofa) haswa bia
  5. O

    Dini ya kanye west

    Kujiunga nini?
  6. O

    Shule ya msingi Shoga Chunya Tanzania

    Hapa kweli majanga
  7. O

    Uchaguzi mkuu wa mwakani 2015

    Nani umekuambia serikali tatu zitapita?
  8. O

    Ushauri: Madereva na Matumizi ya Simu & Njia Mpya ya Mapato.

    Hapo watafaidika matrafic wala sio serikali.
  9. O

    Hivi wadada under 30 mnatoa wapi magari mazuri kiasi hiki

    Kwa hiyo wakikupa hiyo siri na ww utakuwa tayari?
  10. O

    Ni gari gani itanifaa kwa mafuta kidogo kati ya Toyota corola na Toyota cami?

    Ndugu nunua Vitz new model cc 990 hutojuta.achana na maneno ya waswahili kwamba ni za ke.
  11. O

    Kuna 'vigari' mwanaume hutakiwi kuendesha by the way

    Ndio kwanza nimenunua juzi Vitz new model cc 990 .ww nunua prado na mengine .poor thinking capacity.acha kufuatilia maisha ya watu wengine.bajaj nazo ni za kiume?
  12. O

    Bia zimepanda bei

    Hahahaha lakin castle lager hazijapandishwa bei ni ileile 2.
  13. O

    Regina Mwalekwa wa Clouds FM alamba shavu BBC!

    Hongera zako dada Regina.unastahili kuwa wa kimataifa
  14. O

    Wanawake wafanyakazi ndivyo walivyo katika ndoa?

    Ulikosea tangu mwanzo sasa ndo unajuta.hawa inatakiwa uwabane mapema ukichelewa ndo haya yanayokukuta sasa.na ww goma kutoa zako.
  15. O

    Babu Seya kuachiwa huru na Kikwete?

    Katiba ndo sheria mama ya nchi.
Back
Top Bottom