Ushauri: Madereva na Matumizi ya Simu & Njia Mpya ya Mapato.

Ushauri: Madereva na Matumizi ya Simu & Njia Mpya ya Mapato.

B.4really

Senior Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
199
Reaction score
89
Ujio wa smartphones na chinese phones zimetusaidia sana katika sekta ya mawasiliano nchini but hizi simu nahisi kama tunazitumia isivyostahili kwani imefikia hatua sasa private/public drivers wanaendesha magari huku wanaongea na simu,kuandika msg au kusurf kwenye internet huku wakiwa wanaendesha vyombo vya moto kitu ambacho ni hatari kwa maisha yao na jamii kwa ujumla,tumeshuhudia ajali nyingi sana za barabarani zilizopelekea kuwapoteza ndugu zetu kwa uzembe mbalimbali unaofanywa na madereva ,
Je serikali haioni kwamba hii pia inaweza ikawa ni sababu za ajali kuongezeka nchini na ni kitu ambacho kinaweza kukomeshwa kwa watu wenye tabia hizo kulipia traffic notifications na kuongeza pato la nchi!?
NI MTAZAMO TU.
 
halafu baadhi ya wakati unamkuta anachezea simu na polisi anamuona na wala polisi hamuulizi, mimi binafsi kitendo cha dereva kuchezea simu hua kinaniudhi
 
Back
Top Bottom