Recent content by OMMY MKOMWA

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mahubiri ya Mwalimu Mwakasege - UDSM

    Queen Esther, napenda nikukumbushe na kukuhakikishia kuwa hata Saul alikuwa chaguo la MUNGU, maana MUNGU alimtuma Samwel aende kwenye kabila dogo kabisa la Benjamini, akampake mafuta Saul, kwa hiyo pia Saul alipakwa mafuta na MUNGU kupitia nabii Samwel, MUNGU ndiye aliyemchagua Saul kuwa mfalme...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Lowassa kizaazaa; Boda boda wakinga jaribio la kudhulumiwa ujira wao

    Acha kuangalia kibanzi kilicho katika jicho la mwenzio wakati chako haujakitoa, ina maana umesahau hata CCM walipomtambulisha mgombea wao Magufuli kule Mbagala, waliwajazia mafuta full tank? Sasa unapiga kelele za nini kuona Chadema wakiwawekea boda boda mafuta. Msijifanye kusahau maovu yenu...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Lowassa kizaazaa; Boda boda wakinga jaribio la kudhulumiwa ujira wao

    Acha kuangalia kibanzi kilicho katika jicho la mwenzio wakati chako haujakitoa, ina maana umesahau hata CCM walipomtambulisha mgombea wao Magufuli kule Mbagala, waliwajazia mafuta full tank? Sasa unapiga kelele za nini kuona Chadema wakiwawekea boda boda mafuta. Msijifanye kusahau maovu yenu na...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Hata wewe ni teja kuu la CCM
  5. O

    JamiiForums Tanzania UKAWA kwafukuta mgawanyo wa majimbo mapya!

    Wewe ni chizi tena mwehu, sisi sio watoto wadogo na hatutishwi na propaganda za namna hiyo. Naona unajaribu kujipa moyo na hali ngumu mliyonayo ma CCM
  6. O

    JamiiForums Tanzania Nyaraka: Kashfa ya Richmond - Maagizo ya Lowassa na Uamuzi wa Serikali

    We unaumwa? balaa ulizozipata miaka yote na hata baada ya huyo mtu kujiuzulu hauzioni, tushachoka na CCM yenu
  7. O

    JamiiForums Tanzania Zitto: Iundwe Tume huru ya kimahakama kulichunguza suala la Richmond

    Mbona mnakuwa wagumu kuelewa? Lowasa hana wasiwasi kabisa, na ameishawaambia yeyote mwenye ushahidi apeleke mahakamani, hivyo atakayeumbuka ni yule atakayebainika na sio kumhukumu Lowasa bila ushahidi. Naona mnatapatapa bure tu.
  8. O

    JamiiForums Tanzania Lowassa chukua hatua ya kusafisha dhamira za watu-(wanaukawa) kuokoa jahazi

    Mbona mnapiga sana kelele? Nendeni mkamshtaki mahakamani kwa wizi na ufisadi alioufanya. Wengine mmewashtaki yeye mnashindwa nini? na kwa nini hamkumsema vibaya alipokuwa kwenu? Acheni kubabaisha na kutapatapa, nyie ni wanafiki sana, ndio maana badala ya kumchukulia hatua mkaamua kumkata. Sisi...
  9. O

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Topic uliyotoa si ya kitaalam kabisa, na wala haina maana halisi ya ulinganifu wa vitu / mambo, unatuambia tofauti kati ya Lowasa na Magufuli, sioni tofauti hapo, bali ninachokiona ni mabaya ya Lowasa vs mazuri ya Magufuli. Kajifunze kuandika tofauti ya mambo itakayoleta maana halisi ya...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye ahojiwa na TAKUKURU kwa masaa 5

    Acha kuropoka wewe, una ushahidi, au unapiga kelele tu, matukio yote ya rushwa yanayotokea kwenye chama chako huyasikiii? Hela zilizokamatwa kwenye mkutano wenu dodoma toka kwa mhindi hukushuhudia? leta ushahidi wa rushwa uliyoiona ikitokea UKAWA, sio kunyoosha vidole kwa UKAWA ukasahau...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Goli la mkono limetimia, CCM wana akili sana

    Mtoa mada hana jipya, anaumia kimyakimya, na anatafuta namna ya kujiliwaza.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Bendera za ACT-Wazalendo zaupamba mji wa Arusha!

    Wewe endelea kusifia chama chako cha CCM, achana na UKAWA maana haikuhusu.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz alikuwa anatimiza maagano

    Jibu ni kwamba, tunahitaji mabadiliko ya uongozi, utaongozwa na chama hicho hicho hadi lini, acha vyama vipokezane ili vijifunze na kujiandaa kuleta maendeleo.
  14. O

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuhamia CHADEMA na kugombea Urais: Ni Ulaghai, Unafiki na Uzandiki Uliotukuka

    Ulaghai na uzanduki umeishi nao miaka yote, tunachotaka ni upinzani wenye kuleta maendeleo
  15. O

    JamiiForums Tanzania CHADEMA/UKAWA wamtambulishe Lowassa Mikoani

    Wewe ndiye uliyeanza kukata tamaa, tulia hivyo hivyo ndio utajua ni boda boda tu au hata wewe utajazana kumpokea
Back
Top Bottom