romaki
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 477
- 218
Habari wanajamvi,
Kwa sasa ni dhahiri kabisa kwamba ujio wa lowasa kwenda UKAWA umempiga knockout Magufuli kwenye uwanja wa media , social networking na hata kwenye mawazo ya watu, kwa research ya haraka haraka inaonyesha miji na mikoa yote Tanzania na hasa Lumumba ni LOWASA tuu, magufuli kasahaulika kabisaaaa, katika vituo vingi vya kujiandikishia kura ukitaja ccm wanakuangalia vibaya sana, na inaonyesha kwa siku mbili hizi asilimia kubwa ya watu waliopata tabasamu na kuongeza siku za kuishi ni kutokana na ujio wa lowasa kwenye UKAWA. Sasa kampeni ikianza itakuwaje? Yawezekana ikawa huu ndo ukombozi halisi tuliokuwa tunausubiria miaka yote ya ccm kuwa madarakani?