UKAWA kwafukuta mgawanyo wa majimbo mapya!

Taarifa za vikao vinavyoendelea vya ukawa katika Mchakato wa kugawana majimbo ya uchaguzi mapya yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi hivi karibuni kuna kila dalili ya kusababisha mpasuko mkubwa.
Mtoa habari hz ameeleza kusikitishwa na ubabe wa Mgombea urais wa Ukawa kuyataka baadhi ya majimbo wapewe wafuasi wake waliojiengua CCM kwa madai kwamba atawawezeshi kushinda kwa kuwapa
Fedha ya kampeni lakini ni wazi
Wazi CUF hawajaafikiana na wangependa
Wapewe baadhi ya majimbo.

Tarehe 15 tunakuja arusha umbea uache wewe gamba.
 
Kama huwezi kuvumilia unaposikia ya
UKAWA unywe sumu!
Habari uhai wa ukawa ni bibie!
 
Kwann hampendi kuambia kweli siasa mnaikurupikia siasa ni hoja kwa hoja vp bwanamdogo huwezi log out wajenga hoja wajibizane kwa hoja kashndwa Msigwa na Pro Safari siasa si lelemama namsipoangalia kwameneno yenu yasiyokubalika kimaadili mtaenda jela kabla Dr Magufuli hajaapshwa

utatangulia wewe jela kabla wakiumeni hawajaigia ikulu
 
Taarifa za vikao vinavyoendelea vya ukawa katika Mchakato wa kugawana majimbo ya uchaguzi mapya yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi hivi karibuni kuna kila dalili ya kusababisha mpasuko mkubwa.
Mtoa habari hz ameeleza kusikitishwa na ubabe wa Mgombea urais wa Ukawa kuyataka baadhi ya majimbo wapewe wafuasi wake waliojiengua CCM kwa madai kwamba atawawezeshi kushinda kwa kuwapa
Fedha ya kampeni lakini ni wazi
Wazi CUF hawajaafikiana na wangependa
Wapewe baadhi ya majimbo.

Wewe ni chizi tena mwehu, sisi sio watoto wadogo na hatutishwi na propaganda za namna hiyo. Naona unajaribu kujipa moyo na hali ngumu mliyonayo ma CCM
 
Taarifa za vikao vinavyoendelea vya ukawa katika Mchakato wa kugawana majimbo ya uchaguzi mapya yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi hivi karibuni kuna kila dalili ya kusababisha mpasuko mkubwa.
Mtoa habari hz ameeleza kusikitishwa na ubabe wa Mgombea urais wa Ukawa kuyataka baadhi ya majimbo wapewe wafuasi wake waliojiengua CCM kwa madai kwamba atawawezeshi kushinda kwa kuwapa
Fedha ya kampeni lakini ni wazi
Wazi CUF hawajaafikiana na wangependa
Wapewe baadhi ya majimbo.
we jinga kubwa huna lolote
 
Huu ni uongo wa wazi. Katika majimbo kura za maoni zilishapita sasa lowassa atachaguaje watu waliohamia ccm eti wagombee wkt tayari wananchi wana watu wao ? Acheni hizo mkajipange
 
Taarifa za vikao vinavyoendelea vya ukawa katika Mchakato wa kugawana majimbo ya uchaguzi mapya yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi hivi karibuni kuna kila dalili ya kusababisha mpasuko mkubwa.
Mtoa habari hz ameeleza kusikitishwa na ubabe wa Mgombea urais wa Ukawa kuyataka baadhi ya majimbo wapewe wafuasi wake waliojiengua CCM kwa madai kwamba atawawezeshi kushinda kwa kuwapa
Fedha ya kampeni lakini ni wazi
Wazi CUF hawajaafikiana na wangependa
Wapewe baadhi ya majimbo.
vipi tena cd imehamia cuf sio cdm tena? mwaka huu ukawa lazima iwashushe suluali na sketi. baada ya kumnunua lipumba mlifikiri cuf itakufa kumbe ndio mliwaimalisha ngangali
 
Said Nkuba wa Sikonge kawakimbia nalichama lenu la mboga za majani aka SHISHIEMU.
 
Taarifa za vikao vinavyoendelea vya ukawa katika Mchakato wa kugawana majimbo ya uchaguzi mapya yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi hivi karibuni kuna kila dalili ya kusababisha mpasuko mkubwa.
Mtoa habari hz ameeleza kusikitishwa na ubabe wa Mgombea urais wa Ukawa kuyataka baadhi ya majimbo wapewe wafuasi wake waliojiengua CCM kwa madai kwamba atawawezeshi kushinda kwa kuwapa
Fedha ya kampeni lakini ni wazi
Wazi CUF hawajaafikiana na wangependa
Wapewe baadhi ya majimbo.

tupe na taarifa za Said Nkumba wa Sikonge
 
Lowassa ana uchu wa madaraka...fulustop

kila mtu aliyeko kwenye kitengo chochote anakuwa na uchu na ngazi inayofuata kwa mfano Mwanasiasa anataka kushika nafasi ya juu.Mfanyabiashara anauchu na pesa,mkulima anauchu wa mavuno mengi,mkuu wa wilaya anatamani kuwa wa mkoa, mwalimu wa kawaida anatamani kuwa mkuu wa shule,tandboy anatamani kuwa dreva,mwinjiristi anatamani kuwa mchungaji nk
 
Back
Top Bottom