Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,261
- 98,288
Chama cha wana wa mwandigaKwani bendera ndo zinapiga kura. Hao wanajisumbua tu

Kwani bendera ndo zinapiga kura. Hao wanajisumbua tu
Bendera ya kwanza ipo panone pale shangarai!
Hii iliwekwa kama wiki mbili hivi zimepita!
We Mleta Mada hiyo Arusha unayoisemea ww ni Arusha ya Wapi?
ACT ndio chama kikuu cha upinzani kwasasa. UKAWA imebainika ni genge la wasakatonge kwakuwa tayari kupokea watu waliofilisika kisiasa ambao Mwl Nyerere alikwisha walaani.