Hata mie nafikiri kile kipimo huenda(glucometer) huenda ninkibovu kwa sababu kabla ya fasting ilionyesha 16mmol/l mara 14mmol/l na ulilipofast ilionyesha 15mmol/l,siyo sahihi sababu fasting lazima ipungue kuliko mtu akiwa amekula.
Na kipimo cha hospital nyingine fasting kilionyesha 5mmol/l...
Pole sana tatizo la kuwasha baada ya kutumia kwinini ni side effect yake, ila inaisha kadri dawa uliyotumia inapungua nguvu yake mwilini,hivyo kuwasha kutaisha kwenyewe labda kama itaendelea kwa siku kadhaa ni vema kurudi kwa dk.side effects zingine zinazoweza kutokea baada ya kutumia kwinini ni...
sawa dada naona unachofanya kusimamia mali zenu ni sawa kama mlichimba wenyewe endelea kumuomba Mungu atakusaidia ipo siku mmeo atakuelewa tu,lakini usijaribu kuacha kazi eti kwenda kukaa na mama mkwe,usionyeshe chuki kwa mmeo mtimizie yote ulokuwa unamfanyia hapo kabla hajakengeuka,ila mawifi...
mimi ninafikiri baada ya kuona msg hizo ulitakiwa kuwaza zaidi juu ya afya yake kama hana HIV na magonjwa mengine ya ngono
mshauri akapime kwanza,sasa kama umenanihii naye tayari la! subiri miezi mitatu ipite ukapime ngoma hapo utaamua vizuri zaidi pamoja na ushauri uliopewa na wanajf.
mimi nijuavyo mume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja si wawili tena,siyo suala la sakaramenti ya ndoa tu bali kuwa wamoja katika maamuzi ya maisha yenu yote,labda kama mliazima pesa kwa ndugu wa mme zikawasaidia kuinuka kimaisha ndo wanatumia mwanya...
pia unaweza tumia ephedrine nasal drops/spray,kunywa maji mengi kama mtaalamu alivyoshauri,acha kuvuta sigara wakati una mafua kwani inaongezea tatizo.
pole sana, matibabu yatategemea nini chanzo cha tatizo ni vema ukampeleka huyo mtoto kwa DK.bingwa wa watoto kabla tatizo halijawa sugu,lakini kuna mambo yanayoweza kuchangia kuanguka na kupoteza fahamu mf.kama kwenye ukoo kuna mtu alikuwa/ana kifafa anaweza kurithi,kama alipata magonjwa kama...
kama alivyoeleza Idd dalili kuanza kuonekana inategemea kutokana na kinga za kila mtu,lakini ningependa wanajf tujue kuwa muda wa kujua mtu kama amepata maambukizi baada ya kufanya tendo la ndoa ni kuanzia miezi mitatu, 90%ya watu huweza kuonyesha kama wamepata maambukizi,na wachache inaweza...
kama unavyojua ugonjwa huu unachangiwa na pressure kwenye ****** hasa unapotumia nguvu nyingi wakati wa kujisaidia,tumia vyakula hivyi kupunguzia tatizo,vyakula vya majimaji,matunda kwa wingi,mboga za majani kwa wingi,pia kunywa maji mengi.<BR> pia tumia sitz bath weka kwenye maji ya...
Hilo usihofu kwani mtoto hafundishwi kulia,Adamu na Eva walianza vipi? hata hivyo ni vizuri kusoma vitabu mbalimbali vinavyohusiana na maandalizi kabla ya ndoa vyingi vimeeleza hasa maandalizi anayotakiwa mmeo akufanyie kabla ya kumega mkate ili uweze kufika kileleni,pia na wajibu wako...
HOpe 2 nilichomaanisha hapo ni kwamba hatakuwa na kumbukumbu ya kufanya ngono na wanaume wengine na kutaka afanyiwe kama alivyofanyiwa na z.kabla ya kuwa na mmewe,vinginevyo maumivu yapo lakini maumivu ni kitu gani,mfano mama hulia kwa uchungu wakati akijifugua mara mtoto akitoka hufurahia na...
Hakuna shida ujumbe niliuelekeza kwa mhusika ndo maana nikasema she,hata hivyo wewe na yeye ni mwili mmoja mnaweza tumia she/he kwa pamoja maadam hakuna madhara.
Dada walichokuambia ni ukweli kabisa ni mambo ya kawaida ukiwa mjamzito acha mawazo jitahidi kunywa maji,juice, na kula vyakutosha wakati unapoacha kutapika kurudisha maji na madini unayopoteza ukitapika.
Kwa kweli dawa ya kutibu kuacha kutabikakwa mjamzito ni ngumu kwa sabababu ni mabadiriko ya hormone kwenye mwili,cha msingi hospitali wakupe dawa za kuzuia kutapika,atumie machungwa,akitapika sana nenda waongeze drip,vinginevyo ni kwa miujiza ya Mungu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.