Ndani ya muda gani unaweza kuona dalili za awali za ukimwi kwa muathirika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndani ya muda gani unaweza kuona dalili za awali za ukimwi kwa muathirika?

Discussion in 'JF Doctor' started by Sgaga, Nov 28, 2011.

 1. S

  Sgaga Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ningependa kujua inachukua siku ngapi au miezi mingapi kwa muathirika wa ukimwi kuanza kuona dalili za nje za ukimwi?
   
 2. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 792
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  inategemea na body resistance yako,coz km upo fit utakua carrier 4 all ur lyf! bt weak ata miaka 3 nakuendelea!
   
 3. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  mkuu siku chache zilizopita uliuliza hivi: ''hi jf member! aise naomba msaada nmemgonga demu wa mtaani-wakuokota, mchana huu na ndomu ikapasuka! je imekaaje waungwana!''

  vipi upande wako mambo yanaendeleaje?
   
 4. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Usitegemei dalili za nje, mshahuri ndugu huyo akapime tu.
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,821
  Likes Received: 10,115
  Trophy Points: 280
  Mmmmhh Mzee jipe moyo anza kutubu!!!! Huna jinsi!!!!!
   
 6. o

  omholo Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama alivyoeleza Idd dalili kuanza kuonekana inategemea kutokana na kinga za kila mtu,lakini ningependa wanajf tujue kuwa muda wa kujua mtu kama amepata maambukizi baada ya kufanya tendo la ndoa ni kuanzia miezi mitatu, 90%ya watu huweza kuonyesha kama wamepata maambukizi,na wachache inaweza chukua zaidi ya miezi 3 kuonyesha kuwa wamepata maambukizi kwa vipimo vya maabara.wakati huu hakuna dalili zozote huonekana,na akijamiiana na mtu mwingine huweza kumwambukiza maadamu tayari anamaambukizi.
   
 7. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  JIBU; ukikonda unaumwa na ukinenepa unatumia vidonge"
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,298
  Likes Received: 22,082
  Trophy Points: 280
  Njoo ufanyiwe maombi, njoo uombewe
   
 9. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Nenda kapime mkuu hili uanze dawa mapema kama unao.

  Mambo ya kusubiri dalili sio poa. Ukipima mapema ni vizuri sana.
   
 10. f

  faby sharobaro New Member

  #10
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inategemea na kinga yako ya mwili,kama ipo juu unaweza kuishi miaka kumi bila dalili zozote!
   
 11. Bob Lee Swagger

  Bob Lee Swagger JF-Expert Member

  #11
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hapo kuna makundi kama ma4! kuna wanaoprogress haraka sana, kuna wanaoprogress kwa wastani na kuna wale wanaochelewa sana kuprogress to dalili, that is UKIMWI! na kuna ambao hawapati maambukizi japokuwa wanakuwa exposed kwa kias kikubwa! kuna studies tofaut tofaut zilizokwisha fanyika, zinazoyaelezea makundi haya tofauti!
  1. rapid progressors, wanaweza kuchukua miaka 2-3 kwa dalili za nje kuanza kuonekana.
  2. typical progressors, wanaweza kuchukua miaka kama 10 hivi.
  3. Long Term Non Progressors, hawa wanaweza kuwa na maambukizi kwa zaidi ya miaka 10 bila dalili kuanza kuonekana.
  4. Highly Exposed Persistently Seronegative, hawa japokuwa wanajiexpose kwa kiasi kikubwa hawapati maambukizi!!
   
 12. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #12
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ninaipenda JF kwa reference................imkaa vizuri hii!


  kwa mtoa maada!


  Jiamini ; Jikubali na chukua maamuzi ya haraka NENDA KAPIME!

  Utakufa kihoro bure na badala ya kila miezi mitatu jipe utaratibu wa kupima kila mwezi kwa miezi minne hii!
   
Loading...