Haya ni mambo binafsi sana. Ila kiutaratibu MTU anayepokea ekarist takatifu huwa anategemewa awe ametubu ( hana dhambi). Pia ekarist takatifu hutolewa ktk ibada na mpokeaji lazima awe ni Mkatoliki aliyebatizwa.
I stend to be corrected.
KWA KUONGEZEA: PSPF kwa sasa hawatoi hiyo Huduma ya bima ya NHIF. Badala yake wanakuunganisha kwa Jubilee kwa Tsh.177,000/= Ndg yangu alikuwa mnufaika wa bima ya NHIF kupitia PSPF alipoenda ku-renew akaambiwa aunganishwe Jubilee kwa kuwa mkataba wao na NHIF umesitishwa. Mojawapo ya masharti ya...
Sijakuelewa mkuu? Unamaanisha ukiwa daktari hutakiwi kuogopa (kujihadhari na) ugonjwa wowote hata kama ni HIV, kimeta au kipindupindu kwa kuwa u-dokta utajitibu na kupona.
Nilidhani huenda nawe ni GT. Kumbe huna tofauti na unaowalaumu. Umethibitishaje kuwa hao unaowalaumu ni wa (ama wanatoka) Ufipa. Kwa maoni yako kila anayeipinga CCM/selikari ni mwanachama CDM
Asante kwa taarifa. Ninachojua Mimi ni kuwa wagombea wote walikuwa na haki sawa, namaanisha haikuwa lazima achaguliwe makongoro. Na hata ukiangalia walivyojinadi Makongoro hakuwa serious.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.