Recent content by ombokolo

  1. ombokolo

    JamiiForums Tanzania Kimara imeikosea nini Serikali?

    Barabara zitapita wapi vichochoroni? maana hakuna mpango mji huko
  2. ombokolo

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutumia Sh. Bilioni 1 ktk Uchaguzi wa Marudio Kinondoni

    Hii ni dalili kuwa Illitracy inazidi kuongezeka na IQ za watanzania ni ndogo sana katika hali yakawaida hili jambo haliwezi fanywa na watu timamu.
  3. ombokolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

    Dereva na gonga miti...achaaa!! (madaraka)
  4. ombokolo

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona Mji Mkuu ambao hauna Mto/Ziwa au maji!

    Ni kweli capital city ingekuwa eneo kama Iringa ..mji ungependeza sana kutokana na impressive geographical features za Southern highlands Lakin bado hata Dodoma tunaweza kuibadilisha kuwa kama tunavyoitaka since ina maji mengi sana chini ya ardhi tunaweza kuibadilisha dodoma metropolitan kuwa...
  5. ombokolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kwa perfomance hii tunabeba ndoo
  6. ombokolo

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia TCRA yaipiga Clouds FM faini Sh. Milioni 12 kwa ukiukwaji wa Maadili ya Habari

    Wangeanza na kichwa cha habri SIO Habari
  7. ombokolo

    JamiiForums Tanzania Zitto: Inawezekanaje Serikali ikasaini mkataba wa shilingi Trilioni 7 kujenga Reli na vifaa vyote vikatoka Uturuki?

    Kwani hili nalo hamkupata fulsa ya kujadili bungeni ..sasa nyi wazee tumewatuma mtuwakilishe kutetea masirahi yetu mmeshidwa kuongea bungeni mmeamua tuwetunajadili mitandaoni ..ndomana mtukufu ameamua kufanya kila kitu.
  8. ombokolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hawajui kufanya mapenzi ila wanachofanya ni kubaka wapenzi wao

    Ukibakwa nawew tafuta mnyonge ubake
  9. ombokolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uongo gani uliwahi mdanganya mpenzi wako akakubali, ukajiona umeponea chupu chupu?

    . Sio mbaya tukiifanya iwe mada mjarabu katika mkitadha huu
  10. ombokolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uongo gani uliwahi mdanganya mpenzi wako akakubali, ukajiona umeponea chupu chupu?

    Upo vizuri ulikuwa unawahudumia wote
  11. ombokolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uongo gani uliwahi mdanganya mpenzi wako akakubali, ukajiona umeponea chupu chupu?

    Kwaiyo wote walikukula
  12. ombokolo

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Kwaiyo mkuu unataka kusema lisu amepigwa risasi kwasababu alitembea na mke wa mtu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. ombokolo

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma shule za Vipaji Maalum tukutane hapa...

    Vipaji maalum ni diamond na alikiba tu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. ombokolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Where are you my lovely husband I need you now

    I like your narration, come over me miss. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. ombokolo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka nikope 10millions niache kazi serikalini, ili nijiajiri

    Hela ya mboga hiyo unataka uache kazi...usiache kazi mkuu ila anzisha biashara ambayo unaweza kuiendesha huku unaendelea na kazi mpaka hapo mtaji utakapo kua Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom