Recent content by ombeni34

  1. O

    JamiiForums Tanzania Kucheleweshwa kwa Hela za kujikimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu, mpaka pale watakapo lipa Hela ya usajili na kusajiliwa chuoni

    Mbona mm nimefanya usajili nikasainishwa since last week but mpaka leo sioni chochote kwenye account yangu
  2. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Mkuu mm pia ni wa ushirika moshi, ila hata j3 unaweza fanya usajili na continues
  3. O

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kupata mkopo HESLB. Je, hili ni kweli?

    Naomba kuuliza, baada ya kukamilisha usajili na kusign boom, Je boom itachukua muda gani kuekewa kwenye account yangu ya bank??
  4. O

    JamiiForums Tanzania First Year 2020/ 2021 tukutane hapa

    Moshi Cooperative university waje hapa
  5. O

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kupata mkopo HESLB. Je, hili ni kweli?

    vyuo vitaanza kufunguliwa tarehe 16 mwezi wa 11 na mikopo itaanza kutolewa tarehe 10 mwezi wa kumi na moja, shida yangu ni kwamba je ikitokea umekosa round zote, na muda wa kuwasili vyuoni umefika? Serikali hii ya wanyonge haioni kwamba wanafunzi wengi watashindwa kuwasili vyuoni?
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mimi ni continues Student nimeomba mkopo nitapata kweli?

    Continuing student pia inatumika lakini pia kuna option ya progressive hivyo ni wewe tu itategemea unataka kutumia ipi
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mimi ni continues Student nimeomba mkopo nitapata kweli?

    Ingia kwenye dictionary angalia nini maana ya progressive student
  8. O

    JamiiForums Tanzania Mimi ni continues Student nimeomba mkopo nitapata kweli?

    Alafu ulivyo kosoa ni kama vile unajua, ujui chochote
  9. O

    JamiiForums Tanzania Mimi ni continues Student nimeomba mkopo nitapata kweli?

    Tatizo ni kukariri
  10. O

    JamiiForums Tanzania Mimi ni continues Student nimeomba mkopo nitapata kweli?

    Hiii ndo tatizo la kusoma shule za kata
  11. O

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Mm nilikuwa na 4.4 na math olevel nina C na nikatemwa
  12. O

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kupata mkopo HESLB. Je, hili ni kweli?

    Rejea kichwa cha habari hapo juu!!! au ndo wametupotezea? HESLB kuna watu wamerekebisha makosa yao ila bado wameandikiwa invalid kwenye account zao je hii ni kwanini?
  13. O

    JamiiForums Tanzania Mimi ni continues Student nimeomba mkopo nitapata kweli?

    Ww ni progressive student cyo continues student
  14. O

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kupata mkopo HESLB. Je, hili ni kweli?

    Naombeni mnijuze, kuna watu nilisikia wakisema kwamba HESLB hutoa mkopo kwa kuangalia matokeo ya 4m4 je ni kweli?
  15. O

    JamiiForums Tanzania Gpa ya3.7Diploma ntapata kwel UDSM Bcom Accounts

    Ni kweli kabisa kuna jamaa alikosa chuo hivyo hivyo
Back
Top Bottom