Vigezo vya kupata mkopo HESLB. Je, hili ni kweli?

Kama unazifahamu baadhi ya Taasisi au Benki tunaomba tufahamishe ili tupange na kuamua.
Ndugu, ninazozifahamu mimi ni zile ambazo zinaendana na dini yangu. Sina hakika sana na dini nyingine.

Kwa ufafanuzi tu kama na wewe ni Muislam... Kuna taasisi kama An nahl trust. Wao wamesema wanatoa. Japo hasa ni kwa wale wanaoiendea shahada ya pili, lakini pia hata wale wa shahada ya kwanza wanatoa.

Taasisi kama hizo za dini huwa ni selective zaidi, lakini matumaini yapo.
 
Naomba kuuliza, baada ya kukamilisha usajili na kusign boom, Je boom itachukua muda gani kuekewa kwenye account yangu ya bank??
 
Hizo taratibu utapatiwa chuoni kwako, kupitia loan officer wa chuo chako.
 
Naomba kuuliza, baada ya kukamilisha usajili na kusign boom, Je boom itachukua muda gani kuekewa kwenye account yangu ya bank??
Ukishasign boom kama unatumia CRDB ni baada ya siku 2 au moja na nusu ila kama NMB inaweza chukua hata siku 4
 
Msaada waheshimiwa
NInahitaji kusoma degree ,Sasa Nina mzazi mmoja changamoto kujua jinsi ya kuomba mkopo online wakati wanataka hivyo
 
Back
Top Bottom