Vigezo vya kupata mkopo HESLB. Je, hili ni kweli?

ombeni34

Member
Aug 17, 2020
43
95
Naombeni mnijuze, kuna watu nilisikia wakisema kwamba HESLB hutoa mkopo kwa kuangalia matokeo ya 4m4 je ni kweli?
 
Ezekiel Mbaga

Verified Member
May 28, 2018
6,372
2,000
Ndio, ni lazima waangalie lkn hy haiusiani na ufaulu wa form four.
N sawa na kuomba nafas chuo n lazima uweke namba ya four
 
Patiee

JF-Expert Member
Sep 20, 2018
434
1,000
Una wazazi wawili, huna ulemavu wowote, masomo yako hayakufadhiliwa na taasisi yoyote, ulisoma sekondari (o-level)private school kwa pesa za wazazi wako my friend probability ya kupata mkopo hapo ni 2%.
 
ombeni34

Member
Aug 17, 2020
43
95
Rejea kichwa cha habari hapo juu!!! au ndo wametupotezea?

HESLB kuna watu wamerekebisha makosa yao ila bado wameandikiwa invalid kwenye account zao je hii ni kwanini?
 
Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
4,767
2,000
Poleni sana wote mliokutwa na hii kitu ni uhalisia kabisa maana nami Nina mjuba wangu anasumbuka sana na account yake, hadi Leo inaonesha ni INVALID.

Kikubwa inaonesha kuwa kama mlifanya marekebisho basi hayakukubaliwa.. Tusubiri maybe watatoa siku zingine za kufanya marekebisho maana kuna watu walifanya maombi kwa Mara ya kwanza zile Siku 5 za marekebisho na inawezekena kuna watu walikosea pia na wawatahitajika kurekebisha.

Hvyo tuvute subira
 
Desert Lion

Member
Sep 8, 2020
59
125
Una wazazi wawili, huna ulemavu wowote, masomo yako hayakufadhiliwa na taasisi yoyote, ulisoma sekondari (o-level)private school kwa pesa za wazazi wako my friend probability ya kupata mkopo hapo ni 2%.
Kama ulisoma olevel private alafu A level Gorvernment hii imekaaje mkuu huwez pata hata booom!!!!
 
Patiee

JF-Expert Member
Sep 20, 2018
434
1,000
Kama ulisoma olevel private alafu A level Gorvernment hii imekaaje mkuu huwez pata hata booom!!!!
Hupati, (kusoma o-level private ndiyo kikwazo kikubwa)labda kama huna mzazi/wazazi au una ulemavu.
Maneno yangu sio sheria . Nasema haya kwa sababu hizi ndizo sifa za watu wengi wasio na mkopo vyuoni.
 
Jiwe kuu01

JF-Expert Member
Jul 30, 2020
229
225
Hupati, (kusoma o-level private ndiyo kikwazo kikubwa)labda kama huna mzazi/wazazi au una ulemavu.
Maneno yangu sio sheria . Nasema haya kwa sababu hizi ndizo sifa za watu wengi wasio na mkopo vyuoni.
Ukweli mchungu
 
ombeni34

Member
Aug 17, 2020
43
95
vyuo vitaanza kufunguliwa tarehe 16 mwezi wa 11 na mikopo itaanza kutolewa tarehe 10 mwezi wa kumi na moja, shida yangu ni kwamba je ikitokea umekosa round zote, na muda wa kuwasili vyuoni umefika?

Serikali hii ya wanyonge haioni kwamba wanafunzi wengi watashindwa kuwasili vyuoni?
 
Jiwe kuu01

JF-Expert Member
Jul 30, 2020
229
225
vyuo vitaanza kufunguliwa tarehe 16 mwezi wa 11 na mikopo itaanza kutolewa tarehe 10 mwezi wa kumi na moja, shida yangu ni kwamba je ikitokea umekosa round zote, na muda wa kuwasili vyuoni umefika?? Serikali hii ya wanyonge haioni kwamba wanafunzi wengi watashindwa kuwasili vyuoni??
Nimeshaangaaa Sana kwanini ..........

Time will tell
 
Dr Maja

Member
Aug 23, 2020
41
125
vyuo vitaanza kufunguliwa tarehe 16 mwezi wa 11 na mikopo itaanza kutolewa tarehe 10 mwezi wa kumi na moja, shida yangu ni kwamba je ikitokea umekosa round zote, na muda wa kuwasili vyuoni umefika?? Serikali hii ya wanyonge haioni kwamba wanafunzi wengi watashindwa kuwasili vyuoni??
Hapo kweli kuna shida mkuu. Lakini kuna baadhi ya vyuo wamesogeza mbele siku ya kuripoti. Na bado huwa kuna muda usiopungua wiki mbili kama nafasi ya usajili. Hivyo, kama ukipata mkopo haiwezi kuleta shida sana

Kwa watakao kosa hapo ni mtihani kwelikweli. Ila kama kweli ni mtoto wa masikini na umesoma shule za serikali ni nadra sana kukosa mkopo hata kama uchukue kozi gan. Kikubwa ni kumuomba Mungu

Pia, kuna taasisi baadhi za kidini ambazo pia zinahusika na kutoa mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu... Kama HESLB wakikutema batch zote unaweza kuangalia huko.
Ondoa shaka mkuu, Mungu yupo pamoja na sisi
 
jathurwa

Senior Member
Dec 13, 2019
123
250

Bos niunganishe pm na hizo taasisi
 
charldzosias

JF-Expert Member
Nov 10, 2013
1,931
2,000
Mdogo angu.. usiwe na Wasiwasi..

Mtumainie Mungu ila ushauri wangu KUWA na PLAN B kila siku..

Mkopo usiutegemee sana.. unaweza pata au kukosa.

Mkopo usikufanye Uache kusoma.. unaweza kukata Rufaa na kupewa mkopo wako unaostahili.

Fanya Maandalizi ya kwenda Chuoni

-jikusanyeni hata watu watatu kaeni (Muishi pamoja) ili kupunguza gharama wakat mnajipanga vzr. Na wakat ambao bdo mnasubir awamu zingine za mkopo zitangazwe.

Mungu yupo usijali
 
hafidhi cimer

Member
Oct 4, 2020
20
45
Muda mchache umesalia Mambo yawe hadharanj natumaini Mambo yatakuwa sawa mungu yupo pamoja nasi sisi vijana was kitanzania.ameeeni
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom