Recent content by omben

  1. omben

    JamiiForums Tanzania Hivi mpaka sasa, bado kuna Watanzania wanaotegemea kuni na mkaa kwa ajili ya kupikia?

    Gesi bei yake ni kubwa. Pia mkaa mtu akiwa na sh. 500 anapata mkaa. Sasa gas mpaka ajaze mrungi, kitu ambacho mwananchi wa hali ya chini anayepata 3000 kwa siku hawezi kutumia gas
  2. omben

    JamiiForums Tanzania Tatizo la gari kutetemeka kwenye speed likifika speed ya 70kph hadi 80kph

    Unatumia magurudumu/tairi ya kampuni gani Unatumia magurudumu/ tairi ya kampuni gani. Na zinamuda gani toka uzinunue, pia angalia na joint
  3. omben

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mchele kutoa Tunduma kupeleka Zambia

    Mpaka leo hii nimedhurumiwa kiasi cha Kwacha.45,000/=.
  4. omben

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mchele kutoa Tunduma kupeleka Zambia

    Kwacha inashuka kila kukicha
  5. omben

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya Safi na Korie yanatokana na Alizeti gani inayoganda?

    Sawa kabisa na yameandikwa kabisa kuwa ni mawese. Na yale ya alizeti inaitwa korie sundrop( sunflower )
  6. omben

    JamiiForums Tanzania Kama kuna hujuma zilifanyika kuondoa tambi za Santa Lucia, wametukosea sana

    Tambi za santa lucia zilizokuwa zinatoka hazipo kwa sasa. Unazozikuta sokoni zinatengezwa na kampuni ya Murzah naona aliomba kibali cha kutengeza kwa kutumia jina Santalucia
  7. omben

    JamiiForums Tanzania Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

    HUu ndio music sasa.
  8. omben

    JamiiForums Tanzania Vita ya Wabena na Wakinga

    Mkinga na mbena ni mtu mmoja. Na wote tambiko lao kuu ni pale nyumba nitu. Ikawaje wakagombana mtu na mzazi .
  9. omben

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Ahsante sana kwa burudani ya hadithi nzuri. singanojr
  10. omben

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Ahsante kwa burudani. Ubarikiwe
  11. omben

    JamiiForums Tanzania Kila mwenye kuvuta pumzi ya bure, na apite hapa kusifu na kushukuru

    Zaburi 150:1-6 [1]Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake. [2]Msifuni kwa matendo yake makuu; Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake. [3]Msifuni kwa mvumo wa baragumu; Msifuni kwa kinanda na kinubi; [4]Msifuni kwa matari na kucheza; Msifuni kwa...
  12. omben

    JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha kuanza kutumia jina Tanganyika badala ya Tanzania ikoje?

    Ipo mkoa wa Katavi
  13. omben

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kibongo njoo hapa mtueleze kwanini unamtongoza mwanamke saa moja mbele eti unataka tunda

    Umenikumbusha wiki tatu zilizopita. Alinipa namba yake nami nikampatia yangu. Baada ya muda kama saa moja nikakuta sms ikisema. “ Samahani naomba unisaidie shilingi 20,000, nimpeleke mama hospital BP imepanda na hapa sina pesa nitakurudishia mwishoni mwa mwezi. Nakushukuru kwa msaada wako kama...
  14. omben

    JamiiForums Tanzania Jana nimetembea Kilometa 43 kwa miguu

    Hapana alikuwa hakimbii. Maana mimi natembea kilia siku jion umbali wa km 6 kwa saa.
Back
Top Bottom