Vita ya Wabena na Wakinga

Vita ya Wabena na Wakinga

Motoni yupo mkureshi na kikundi chake alichokua anakiambia kibake ndomana amekufa kama chifu mangungo wa msovero anasubiri hukumu na anaswaliwa na kuambiwa amani iwe juu yake.

nabii nuh aliwaambia waabudu sanamu wenzako kuwa kama ni allah amewakusudia shari hakuna kitakachowasaidia siku anayoongea na wameishakwenda na maji

ilitakiwa ujiombee nafsi yako Allah akutakie mwisho mzuri ila kama kawaida yenu waabudu sanamu mnaridhika kuweka uadui na Allah azza wa jalla
 
Motoni yupo mkureshi na kikundi chake alichokua anakiambia kibake ndomana amekufa kama chifu mangungo wa msovero anasubiri hukumu na anaswaliwa na kuambiwa amani iwe juu yake.

Endelea kujifanya huoni kama kawaida ya muabudu sanamu
 
Mwaka ni 1874 kabla ya wajerumani kuja kusini mwa Tanzania mkoa wa sasa njombe waliishi wabena ambalo kwa kipindi hiko lilikua ni kabila dogo.

Wabena ilikua ni kabila ambalo halina mfumo ambao uko centralised yaan hamna hakukua na mtawala mmoja aliyeongoza wabena wote ila kulikua na tawala ndogo ndogo hii ilikua na advantage lakini pia dis advantage ilikua ilikua ngumu kupambana na tawala kali na empire zenye nguvu kama Wajerumani.

Sasa mwaka 1874 ilitokea Vita kubwa kati ya wabena na wakinga ambayo mainly ilikua ni kuongeza himaya na wanawake. Ikumbukwe wanawake ilichukuliwa ni kitu serious watu walivamia himaya nyingine kuiba vyakula, mifugo na kubeba wanawake kama mateka ambao wakifika kwene himaya yao walikua wanageuzwa wake zao kwa ajili ya kuongeza koo familia zao.

Basi mwaka huo kundi dogo la wabena wa vijiji vivyo zunguka mlima kipengele walianziashisha uvamizi kwene himaya ya wakinga ambao walikua wapo kusini kabisa mwa himaya ya wabena ambapo kwasasa kunaitwa Makete.

Walivizia msimu wa baridi kali kabisa lile la mwezi wa sita ambapo maea nyingi barafu na umande hutua na kufunika ardhi ya makete ndio msimu walio vamia. Huu msimu uliwapa advantage kwani hawakua na jeshi kubwa kama nilivosema wameundwa na tawala ndogo ndogo na maadui zao ilikua ngumu kupigana kutokana na barafu kalii na ilikua ni vita ya kushtukiza.

Katika hali ya taharuki walishambuliwa na kupigwa sana kwa vita ya kushtukiza mpaka majeshi ya ukinga yakakimbilia milimani yakiacha familia na wake zao na vyakula na mifugo. Basi majeshi haya ya wabena yalifanikiwa kuchukua mazao ,mifugo wanawake vijana ambao walibebeshwa mazao kuelekea vijiji vya mlima kipengele.

Inakadiliwa watu zaidi ya 350 walipoteza maisha huku wanawake na mabinti wakichukuliwa.

YAANI MFANO KIJIJINI KWETU.
Kuna wabibi zaidi ya 20 nasimuliwa wao kiasili waliporwa ukingani kipindi cha vita. Hii inaonesha jinsi gani hata kulikua na muingiliano mkubwa na mfanano hasa hili swala la kupora wanawake wa makabila mengine
Mkinga na mbena ni mtu mmoja. Na wote tambiko lao kuu ni pale nyumba nitu. Ikawaje wakagombana mtu na mzazi .
 
Ebu jitahidi kuelewa.
hiyo sample ya 20 ni mfano ambao nimuona kijijini kwangu.
Haina uhusiano na waliokufa
Motoni kupo mjomba, acha uongo!, sample ya 1784 umeiona 2024?
Hisabati za saa na miaka sikusoma darasa la Tano, mwalimu alikuwa na mimba... kwani hapo sio mmoja wapi kati ya wewe au hiyo sample ana miaka 240 ili kukutana?
 
nabii nuh aliwaambia waabudu sanamu wenzako kuwa kama ni allah amewakusudia shari hakuna kitakachowasaidia siku anayoongea na wameishakwenda na maji

ilitakiwa ujiombee nafsi yako Allah akutakie mwisho mzuri ila kama kawaida yenu waabudu sanamu mnaridhika kuweka uadui na Allah azza wa jalla
Nuhu awezi kumuabudu Allah maana huyu alibuniwa na Momo mwamba wa kikureshi karne ya 6
 
Nuhu awezi kumuabudu Allah maana huyu alibuniwa na Momo mwamba wa kikureshi karne ya 6

allah anajua kutesa na hata muda huu unaishi na laana kama alivyosema katika suratul al ahzaab kuwa alishawapiga na laana nyie waabudu sanamu wote na unadhalilika kila siku ila unajikaza tu
 
allah anajua kutesa na hata muda huu unaishi na laana kama alivyosema katika suratul al ahzaab kuwa alishawapiga na laana nyie waabudu sanamu wote na unadhalilika kila siku ila unajikaza tu
Huyu Allah aliyebuniwa na Momo wa kikureshi na kumuacha momo akifa kwa kurishwa sumu
 
Sawa msujudia jiwe Jeusi

unavyopenda unafiki jiandae tu na kuteswa na moto maana ndio mwisho wa watu aina yako

ulivyo mnafiki unajifanya hujaona huyo mkureshi amewafundisha nini kuhusu kusujudia visivyokua Allah
 
unavyopenda unafiki jiandae tu na kuteswa na moto maana ndio mwisho wa watu aina yako

ulivyo mnafiki unajifanya hujaona huyo mkureshi amewafundisha nini kuhusu kusujudia visivyokua Allah
Mkureshi nina amini kabisa haumjui vizuri umesoma ngano zake na kukarishwa kwa lugha usiyoijua ila waarabu wameanza kujanjaruka kwakua wanahoji vitu na wanaona mkureshi alikua mjanja kama wakina mangungo
 
Kwa hiyo ukifa na tabia hiyo na matendo hayo haujatubia Allah hatakuadhibu kwa kuwa anakushindwa au?
Allah hajawai kuumba hata nzi Allah na momo wote wasanii maana awezi akaruhusu katoto kamikaze 6 kaolewe na kaanze kuingiliwa na mzee wa miaka 52 akiwa na miaka 9 !
 
Mkureshi nina amini kabisa haumjui vizuri umesoma ngano zake na kukarishwa kwa lugha usiyoijua ila waarabu wameanza kujanjaruka kwakua wanahoji vitu na wanaona mkureshi alikua mjanja kama wakina mangungo

Allah atakuacha vipi ukifa muabudu sanamu ? Atakuachaje achaje? Anakushindwa au?
 
Allah hajawai kuumba hata nzi Allah na momo wote wasanii maana awezi akaruhusu katoto kamikaze 6 kaolewe na kaanze kuingiliwa na mzee wa miaka 52 akiwa na miaka 9 !

kazana kujifariji na kujisahaulisha mzee

jehanamu inakusubiri na hilo unalijua ila unajifanya hauoni
 
Allah hajawai kuumba hata nzi Allah na momo wote wasanii maana awezi akaruhusu katoto kamikaze 6 kaolewe na kaanze kuingiliwa na mzee wa miaka 52 akiwa na miaka 9 !

usomage pia allah amekuahidi nini wewe muabudu sanamu badala ya kutafuta kasoro katika uislamu kitu ambacho hakijawahi kuwepo na hakitakuwepo
 
Allah atakuacha vipi ukifa muabudu sanamu ? Atakuachaje achaje? Anakushindwa au?
allah ni mungu wa wapagani wa kikureshi ambaye kaumbwa na momo maana momo alivyokua Anafanya kosa tuu,Allah anashusha Aya ya kusaisha kosa ukianza na kummtamani mke wa mtoto wake wa kambo aliyeitwa Zeyd,Allah akashusha Aya kwamba unaweza ukaoa mke wa mtoto wa kufikia Momo alikua na tamaa sana
 
Back
Top Bottom