Recent content by omaryrtz

  1. omaryrtz

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya Bwana Ugoko na Wapangaji Wenzake.

    Ugoko alichaguwa kubadirika maana anajuwa kilichomkuta mtangulizi, wanaogaragazwa kwenye tope si wote wanasomeshwa namba baadhi Kabla ya igizo kutamatika mateka wataficha kiatu cha ugoko ili kupima uimara wa miguu yake. Asichokijuwa ugoko ile bastola haina risasi maana waliompa nao niwahuni...
  2. omaryrtz

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni Job Ndugai pekee anaeweza kuishake CCM uchaguzi ujao! Muhimu ni wapinzani kuungana wamshawishi awe mgombea kupitia CHADEMA

    Hiyo ulaya unayoizungumzia ni ulaya ipi ambayo hao wagombea wake hawajawahi kurudia kugombea baada ya kushindwa mara ya kwanza?
  3. omaryrtz

    JamiiForums Tanzania UISLAM: Mbali Na Kuwa Chombo/Mpango wa Waarabu Kueneza Tamaduni Zao. Bali Pia ni Chombo Chao Cha Harakati/Kupigania Haki/Uhuru Wao

    Umeanza vizuri na umemaliza vizuri, tatizo umeshindwa kuishi na mfano ulioutoa hapo mwisho kuhusu jamii ya wamasai. Linapokuja swala la mtu kuuishi utamaduni wake anakuwa sahihi kwa sababu ndio mila yake, ulitaka wamasai waache tamaduni zao? Hata wewe unatamaduni zako za kidini au kimila...
  4. omaryrtz

    JamiiForums Tanzania Mahari sio lazima, ni mila potofu ya kupingwa

    Mahari ni swala lililoegemea katika misingi ya Kidini/imani na tamaduni za kimakabila/mila. Ndoa nyingi zimefungwa katika misingi ya aina hiyo (kidini/kimila) misingi ambayo mahari ni sehem ya jambo la wajibu katika kukamilika kwa tukio lenyewe (ndoa) Tunaweza kutoa maoni juu ya kinacho...
  5. omaryrtz

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

    Hii ndionjia sahihi ya kuvunja mkataba sio Kwa namna walivyokuwa wakimshauri kina bin msumari
  6. omaryrtz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna siri gani nzito kwa wanawake wa namna hii?

    Kuna sababu nyingi sana nyuma yao japo kila mmoja ana sababu yake. Unaweza kumsaidia mwanamke wa aina hii ikiwa utajua chanzo cha tatizo na si tatizo lenyewe.
  7. omaryrtz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda ngono sana, nashindwa kumhimili

    Penye miti hakuna wajenzi
  8. omaryrtz

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

    Unaposema hakukuwa na Manabii/Mitume waafrika unasema katika muktadha upi.?? Kwa kuzaliwa afrika? Kuwa na asili ya afrika (mweusi) Au kuhudumu Afrika?
  9. omaryrtz

    JamiiForums Tanzania Maono ya herufi na tarakimu. Je kuna uhai ndani yake?

    Ni moja kati ya elim ngumu sana kujifunza na ugumu zaidi ni mtu wa kukufunza....
  10. omaryrtz

    JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji: Mchakato wa mabadiliko Simba umekamilika, aweka bilioni 20

    Aweke mara ngapi! Wakati katamka wazi kabisa kwamba katika kipindi cha miaka minne amesha tumia billion 21 katika uendeshaji wa club kama Mishahara, posho, nauli, kambi na mengineyo. Halafu bado mnaulizia billion 20?
  11. omaryrtz

    JamiiForums Tanzania Leo ni Hukumu ya kesi ya Yanga Vs Morrison

    Leo si siku ya hukumu. Leo shauri litasikilizwa na baada ya hapo litapangiwa siku ya hukumu.
  12. omaryrtz

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kutuaminisha kuwa Hukumu ya Bernard Morrison ni leo, hatimaye mambo yawa Magumu kwa Yanga SC mpaka 14 Agosti, 2021

    Mbona umeandika ki mahaba zaidi kuliko weredi..?? Hata uzoefu wa kesi za kwetu huku huna achilia mbali hizo za nje, kesi kusomwa au kusikilizwa ni jambo moja na kesi kutolewa hukumu ni jambo lingine. Taarifa waliyotoa CAS ni kuwa shauri limesikilizwa na hukumu itatolewa tareh 14 August au...
  13. omaryrtz

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Lipuli analipwa laki tisa, Haji analamba laki saba hivi ni haki hii?

    Kwa speech aliyotoa mi naona hata hiyo laki saba hastahili maana hana weredi katka majukum yake, alifaa alipwe 250 au 350k.
  14. omaryrtz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Woman love Risk Takers

    Kuamua kuwa na mahusiano na mtu wakati huna pesa hiyo pekee ni risk tosha kabisa, sababu lolote laweza kukuta. Ni wanawake wachache sana wana appreciate hiyo kitu, ki-bongo bongo wengiwao ni vichwa maji. Imagine huna kazi, pesa au mambo yanakuendea vibaya, linatokea jambo unaamua ku-risk mambo...
Back
Top Bottom