Kuna siri gani nzito kwa wanawake wa namna hii?

Kuna mmoja alikuwa na hizi pigo.. ila kuja kuchimba deep down... alshawahi kushiriki mambo ya usagaji back then.. ko feeling za mapnz na jinsia Me alikuwa anajikaza tu ile feeling hapati kbsaaaa lakini ndo ivo yupo kwenye ndoa
Nilijua lazima usagaji uhusishwe lol.
 
Kuna mmoja alikuwa na hizi pigo.. ila kuja kuchimba deep down... alshawahi kushiriki mambo ya usagaji back then.. ko feeling za mapnz na jinsia Me alikuwa anajikaza tu ile feeling hapati kbsaaaa lakini ndo ivo yupo kwenye ndoa
Hii hoja inaushawishi wa asilimia nyingi.
 
Mwanamke huanza kuandaliwa mapema.

Je mwanaume yupo romantic

Ana vimsg vya mahaba

Simu za mahaba kwa mkewe

Maongezi ya mahaba????

Ushajua mkeo hayupo romantic mturn on!!!

Pia mumewe ajiulize je mke aliwahi kumfumania? Iwe live au thr simu?

Mke ashawahi kujua mumewe anachepuka? Wengine wakijua hilo wanaua hisia zao.
Nimeelezea karibia kila kipengere ulichouliza ungerudi tena kusoma nimeshajibu mapema mkuu,au kama una la kuongezea pia.
 
UNYUMBA
ni sehemu ya maumbile ya mwanadamu, ukiona kuna mtu ajishughulishi nalo ni mgonjwa huyo .
ni kama kula chakula, huwezi sema eti niko bize sana kiasi sili chakula. mara ya mwisho kula ilikuwa siku ya maadhiminisho ya uhuru.
Kabisa
 
Kuna sababu nyingi sana nyuma yao japo kila mmoja ana sababu yake.
Upungufu wa homon
Kuwa na historia ya kunyanyaswa kingono hasa katika umri mdogo lakini muhusika akiwa ni mwenye kujitambuwa.
Kuwa na historia ya kusalitiwa
Mapenzi ya jinsia moja
Kuwa na mtu asiye chaguo lake
Namna unavyo mtreat kwenye tendo inaweza mfanya kulipenda tendo au kulichukia.

Unaweza kumsaidia mwanamke wa aina hii ikiwa utajua chanzo cha tatizo na si tatizo lenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom