Recent content by omari ismail

  1. omari ismail

    JamiiForums Tanzania hello.. mimi ni mwanachama mpya

    Welcome mkuu
  2. omari ismail

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka atoka kwenye Ukumbi wa Bunge kwenda kulilia nje

    Mh watu wengine bhana shidda tupu. Sa mi ndo kwafano ni Papaa yng ukirud nitamcheka vibaya xna
  3. omari ismail

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo tembo wanavyong'olewa pembe zao..

    Mmh I ddnt know it b4, Hv hao wana roho gani ambazo zina kutu
  4. omari ismail

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana rais bachelor kukaa ikulu?

    I don't think kama itakuwa so potential Cha msingi ni uaminifu na uongozi bora tu.
  5. omari ismail

    JamiiForums Tanzania Napatwa na hizi hisia kila mara...nifanye nini mimi?

    Duh, let me start with "pole" Ninachoweza kukushauri ni "ucpendelee kukaa peke yako, sali kadri uwezavyo huenda ni mabadiliko ya kihisia tu yanakuandama" Si kila njozi au fikra zinaweza tokea real..... Ni tatizo linakusumbua ila kumbuka kuwa tumeumbwa na tumebarikiwa akili na ujasiri ktk kusolve...
  6. omari ismail

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wakorofishana, sasa wasusia Vikao vya kichama

    Duuh, mbona kitaeleweka tu
  7. omari ismail

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wakorofishana, sasa wasusia Vikao vya kichama

    Duu Babel tena! Kazi ipo mkuu
  8. omari ismail

    JamiiForums Tanzania Sura ya nguvu huyu ndiye mpezi wa timu gani hapo bongo?

    Duh, jamani wachezaji kuweni waangalifu na makini mtasababisha street children
  9. omari ismail

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 11 Machi 2014

    Pamoja daima.
  10. omari ismail

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi ajinyonga Mzumbe.

    Huenda jamaa hana ndugu or friends, kama anao asingefanya iyo mishe.
  11. omari ismail

    JamiiForums Tanzania Nimekosa interview ya UDOM sababu ya kutokuwa hewani(simu)

    Ucjal kila mtu anarizk yake mtu wng. Ndo mana cku zpo tofauti j3-jpil. Xo never lose hope, and never give up too.
  12. omari ismail

    JamiiForums Tanzania Tufikishe watu 100,000 wanaoupinga ushoga Tanzania.(ushoga ni uuaji)

    Yeah, that's real. How could it possible to practice it with someone seems like yr bro. We Hv to make.sure that it is not gonna happen to us. Let them do it coz it is right to them but not us
  13. omari ismail

    JamiiForums Tanzania Wanaume vijana 20's-35 wanaboa sana!

    Duuh. Kumbe leo nimepata jibu la swali la best yng wa karibu, xo mbaya saana
  14. omari ismail

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kujizuia kuwa na mpenzi mmoja

    Hukuwahi kaa na kujiuliza ni poa unavyofanya au? Fikiria maisha best no time to waste.
Back
Top Bottom