Labada kama hivyo viwanda vimejengwa nje ya nchi au peponi..tokea magufuli aingie uongozini wananchi tunaskia kelele tu hatuoni la maana ni kelele...magufuli anapiga kelele tupu na usanii mwingi
Watanzania wengi ni wajinga ndio maana wanakubaliana na vitu feki kama hivi..yaani wajinga wameamua kusapoti huu ujinga wa kutunga kamba ni sahh...nendeni kwenye website ya TCU km kuna kituko hicho..
Pili fuatilieni mfumo mzima unatumiwa na TCU kutoa taarifa zao km zimekaa kijinga hvyo..yaani...
Kutokea jana nimetuma pesa kwenye akaunti ya UDSM kwa njia ya MPESA shilingi elfu 20,000 lakini hadi leo ninaonekana sijalipa na ujumbe ni ule ule wakati walitoa taarifa kwamba tovuti yao itajibadili automatic ukishalipa na kukuruhusu uendelee na maombi. Kwa wizi huu kesho nina amkia UDSM bila...
Tokea jana nimetuma pesa kwenye akaunti ya UDSM kwa njia ya MPESA shilingi elf 20000 lakini hadi leo ninaonekana sijalipa na ujumbe ni ule ule wkt walitoa taarifa kwamba tovuti yao itajibadili automatic ukishalipa na kukuruhusu uendelee na maombi....kwa uwizi huu kesho nina amkia UDSM bila hiyana.
Ninaitwa Juma Hassan, kijana mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam-UDSM 2015 katika kitivo cha humanitia na sayansi ya jamii.
Kutokana na hali ya serikali kupanga bajeti bungeni na kuipitisha kwamba wataajiri waalimu elfu 40 na baadaye kutuaminisha kwa kupitia tangazo lililotolewa na wizara...
SERIKALI HAIELEWEKI KABISA KUHUSU AJIRA HASA ZA WAALIMU
Ninaitwa Juma Hassan, kijana mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam-UDSM 2015 katika kitivo cha humanitia na sayansi ya jamii.
Kutokana na hali ya serikali kupanga bajeti bungeni na kuipitisha kwamba wataajiri waalimu elfu 40 na baadaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.