Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 457
Huyo jamaa miaka yote ya kazi zake anafanya hayohayo kwa maslahi ya nchi yake au mimi ndo sijui mambo ya Sera na Sheria.Hiyo ni vita ya kisheria na kisera kwa mstakabali wa uchumi wa nchi na maslahi ya watanzania sio vinginevyo...
Passion