Wakuu mimi naipenda sana demokrasia, pia napenda niwe mwanadiplomasia elimu yangu ni kidato cha 4 point 29 arts. Nipo Tabora nimejishikiza sehemu napata hela ya kula na maisha yanasonga.
Naamin humu ndani kuna watu wanaulewa na elimu zaidi yangu. Je, kwa mazingira niliyopo na elimu yangu...
Samahan naomba kufaham kuna madhara au faida tutakayopata??je nin dhumun la chombo hicho kupita anga zetu,na waliokitengeneza walikuwa na lengo gan,??mweny kujua naomba anieleweshe.
Kuzungumza ishu ya zama na ruge ni wastage of time kwa kuwa Nina uhakika100% ,hakuna anaejua from 0-9.hatupaswi kumkosoa zama wala ruge kwa sabab hatujui chochote xema wabongo tumezoea story za juma na ured.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.