Kisa cha Ruge na Historia ya Maisha yangu

Kisa cha Ruge na Historia ya Maisha yangu

Hata kama ana watoto wa nje, boss kajitoa sana kwa mama viwili, kila kitu anapewa, Zam ubinafsi na kutaka fame, ndio kaamua kuvipa vipaumbele kwenye maisha yake
Tetesi ni kuwa boss alisha badili dini wakati wa harusi ya Shamsa Ford ndiyo ilikuwa story ya mjini kwa walionyaka za chini ya carpet.
 
Tetesi ni kuwa boss alisha badili dini wakati wa harusi ya Shamsa Ford ndiyo ilikuwa story ya mjini kwa walionyaka za chini ya carpet.
Very sad indeed, mi nazid kuumia, kwan nakumbuka ya kwang. Tufanye kp ili mridhike eti kuwa tunawapenda na kuwajali!!!
 
Mkuu naona kisa chako na cha Ruge ni tofauti, we we ulitendwa ikakuuma na kweli inauma ila Ruge alikuwa haoni thamani ya huyo demu mpaka pale demu alipoamua ndipo jamaa akajua kwamba ameshapoteza. Hii yako ngumu kumeza, ningechinja mtu kama kuku.
 
Ndoa inaandikwa na kila mtu amesha pangiwa aolewe nanani,labda tuseme Zama na Ruge hawakuandikiwa kuowana,yupo atakae kua na Ruge na watafunga ndoa bila ya kipinga mizi kama alivyofunga Ndoa Zama,na pia mleta mada usiangalie upande wa Ruge peke yake ivi angekua Mdogo wako Zama unge furahi akiwa ana sononeka? kupewa sijui hela au gari hayo yote ni Mbwembe tuu,ange oa akamaliza mzozo, wache tuseme mwenyezi mungu atampa Ruge mwenye kheir nae..
 
Ndoa inaandikwa na kila mtu amesha pangiwa aolewe nanani,labda tuseme Zama na Ruge hawakuandikiwa kuowana,yupo atakae kua na Ruge na watafunga ndoa bila ya kipinga mizi kama alivyofunga Ndoa Zama,na pia mleta mada usiangalie upande wa Ruge peke yake ivi angekua Mdogo wako Zama unge furahi akiwa ana sononeka? kupewa sijui hela au gari hayo yote ni Mbwembe tuu,ange oa akamaliza mzozo, wache tuseme mwenyezi mungu atampa Ruge mwenye kheir nae..

Boss kila new recruit lazima atest kwanza, Zama alivumilia mengi sana lakini huyu wa juzi ndiyo ilikuwa funga kazi, dada amemwaga manyanga chini.
 
Hivi huyo Ruge huwa haiwezekani kum-address bila kuweka neno Boss?ile ya wakili msomi ishatolewa ufafanuzi je hii vp?
 
Nikisikiaga story Kama hizi nakumbuka Anna alivyonifanyia nitakumbuka Daima am forgiveness and forgot ila nasikia kaolewa Mbezi jogooo alisahau yote niliyowahi kumfanyia akageuka joka la mdimu
Pole kwa yote aliyokufanyia Anna,ona kafanya mpaka umeandika kimombo kuweka msisitizo.😀😀😀😀
 
Ruge n boss ndio, kwan shida IPO WAP!
 
hahahahahah
kwikwikwikwi
tehe tehe tehe tehe
kwa kwa kwa kwa kwa
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Kumbe na nyie mnaumia MKITENDWA! mnavyotufanyia wanawake mnadhani tuna mioyo ya mawe!!!!
 
Boss kila new recruit lazima atest kwanza, Zama alivumilia mengi sana lakini huyu wa juzi ndiyo ilikuwa funga kazi, dada amemwaga manyanga chini.
Lazima achoke,watoto amempa wawili bado haridhiki ana washwa washwa tuu,na maradhi haya bora asalimu amri tuu awachie wanaoweza yeye amestahmili kiyasi chake...
 
Usijifananishe wewe na Boss wa mawingu Yule ni chupi mkononi na sketi usinipite amelala na wengi kipindi anazaa na zamaradi alikuwa anazaa na wadada wengine wa mjini yaani watoto wanapishana miezi 2 au 3 na wa zama kwahiyo tuachie zama wetu akajitulizie huko aendako
Nyie wanaume mkicheat mnataka msamaha tunasamehe ila mnaporudia inatuuma nasiku tukisema basi ujue nitolee hatuangalii nyuma kabisa
Pole kwa taliyokukuta mkaka
 
Kayataka kwanini hakufunga ndoa ya mahakama. Ingawa ndoa zote ni za serekari kanisani au msikitini ni baraka za kidini tu amebugi men
 
Wakuu JF,


HaKikubwa mimi namshukuru Mungu maana yeye ndiyo muweza wa yote, Nililia sana, mpk kesho nikikumbuka nitalia vile vile. Ila itafika wakati kidonda changu kitapona tu kwa kuumizwa na kubondwa bondwa ndani ya moyo wangu. Maisha lazima yaendelee, wapo wataomcheka Ruge lkn Boss ameumizwa na jambo lisikie kwa mchiz mwingine, omba yasikukute wazee.

Men out there TUMUOMBEE mwenzetu awe MTULIVU na SUBIRA, kwani atapata mwingine aliye wa kweli.
Hili ndiyo jambo la msingi
 
Wanaume bana, wakiachwa wao wanaumia kweeeeeli...! Kwani huyo Ruge yeye kaacha wangapi? Ndo asikie vile inauma shwaini zake. Nyie mabingwa wa kuacha wenzenu, mkiachwa nyie mnalia lia oooh Im gonna die [emoji23][emoji23][emoji23]. Kufwa tu, tutakuzika na THT wata perform msibani [emoji23][emoji23]
 
Kwa dunia ya sasa hivi na mungu ananiona asilimia 50% ya wanaume wanalea watoto ambao siyo wakwao usiniulize nimejuaje...kama unawatoto tano unaweza kuta watatu ndiyo wako au wawli
 
Kuzungumza ishu ya zama na ruge ni wastage of time kwa kuwa Nina uhakika100% ,hakuna anaejua from 0-9.hatupaswi kumkosoa zama wala ruge kwa sabab hatujui chochote xema wabongo tumezoea story za juma na ured.
 
Mtoa maada hapo ulikosea, yaan ulikuwa unamuoa Mwanamke kwamba mmepata nae mtoto???

Na Si hukumuona Kuwa ni mke toka moyoni mwakooo???

Kama alikuwa ni mke kwako kuzaa na mwanaume mwengine Si tija
 
Hata kama ana watoto wa nje, boss kajitoa sana kwa mama viwili, kila kitu anapewa, Zam ubinafsi na kutaka fame, ndio kaamua kuvipa vipaumbele kwenye maisha yake
Maisha ya mapenzi usiangalie unatoa kiasi gan,angalia unamtendea mema kiasi gan bila kutarajia return kutoka kwake,,kama unatoa vitu au zawad sababu unampenda utakua umeshakwama maana ktk real love hakuna sababu ya kupenda sababu upendo haupendwi unapenda tu
 
Ndugu kisa chako si sawa na ruge...
Mwenzio ruge ni malaya kicheche...anazalisha kila kona..kipindi tu zamarad ana mimba ya pili..tyr kuna mtangazaji wa redio fulan nae alikua na mimba..na wakajifungua kwa kufatana...
Ukiacha hao..bado ana watoto rundo...ana haki ya kupigwa chini...zama kamvumilia kachoka..
Yako wewe inaonyesha bibi aka mama mtoto alikua km anakutumia tu...lkn wewe ulikua unampenda kweli...
Na amekataa kuolewa nawe cz anafeel guilty
 
Ndio maana kila wazo la kuoa likinijia huwa natafuta koloni langu la zamani naruka then naendelea na yangu mpaka hapo wazo la kuoa likinirudia tena. Pamoja na ueledi wangu mkubwa nilionao kuhusu hawa viumbe nimeshindwa kabisa kuwaelewa.
Ukisema ujiangushe ndani ya box upate mkwaju wa penati utakuja kulia kama mtoa post unavyolia mbunye kizembe. Mwanaume halii ikitokea demu kazingua unakaza mwendo kwenda mbele kwenye fursa zaidi. Unalia lia nini? Kipi ambacho hukijui au hujawahi kusikia.
 
Back
Top Bottom