Recent content by Olomynkunde

  1. Olomynkunde

    JamiiForums Tanzania Speakers in Africa who resigned from their posts

    Long live Ndugai
  2. Olomynkunde

    JamiiForums Tanzania Seven reasons why some of Degree holder are Poor

    Acha kututukana mkuu utajiri unaanza taratibu sana kuwa mpole boss afu siyo degree holder tu ata maprofesor ni maskini inategemea unatulinganisha na nani ebu kuwa specific boss apo ungeweka hivi SEVEN REASONS WHY DEGREE HOLDER ARE POOR UKITULINGANISHA NA WATU KAMA BILGET ila bilget na yeye ana...
  3. Olomynkunde

    JamiiForums Tanzania Tumia watu wakutengenezee pesa

    [emoji1535][emoji1535]
  4. Olomynkunde

    JamiiForums Tanzania Mkimaliza Kuwaondoa Wamachinga muanze kampeni ya Kuondoa Nyumba za Zamani zilizopo Pembezoni Mwa barabara

    [emoji23][emoji23]milioni 200 kaka hii nchi hela ni ngumu sana
  5. Olomynkunde

    JamiiForums Tanzania Tumia watu wakutengenezee pesa

    [emoji23][emoji23][emoji23]mkuu piga kifua sema mimi ninamawazo mazuri Ila nataka kuwapoteza vijana
  6. Olomynkunde

    JamiiForums Tanzania Tamko la kuondoa wamachinga mijini liende sambamba na kuwaondoa watoto wa vigogo kwenye ajira Serikalini

    [emoji23]kiongoz apa umezingua..... kila mtu atakula urefu wa kamba yake hakuna mtu alopangiwa awe masikini bhn ni sawa na kumwambia bakresa asimpe mwanae cheo kwenye kampuni yake kwasababu wewe unafanya kazi vizuri kuliko mwanae chamsingi nikupambana.... yani mpk tukisha umia sanaa na kuumiza...
  7. Olomynkunde

    JamiiForums Tanzania John Pombe Magufuli: A blessed memory

    [emoji23][emoji23]mbinguni hutoboiii..
  8. Olomynkunde

    JamiiForums Tanzania The next Tanzania president 2025 should be Kassim Majaliwa

    Kusoma harvad siyo ndo kuwa raisi bora mzee au kusoma shule zinazoshika no moja hatutaki mtu anaefaulu mitiani darasani tunataka mtu anaepiga kazi atakae tutoa from point A kwenda B argument yako naona ni ya kitoto sana
  9. Olomynkunde

    JamiiForums Tanzania The next Tanzania president 2025 should be Kassim Majaliwa

    Kasim Majaliwa[emoji1535] i vote for this man
  10. Olomynkunde

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Waziri amesema wasomi hawafai kuwa walinzi[emoji23] kaka we nenda mtaani tafuta hela utanishukuru
  11. Olomynkunde

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Sabaya imeiumbua CCM

    Wanamchomoa hawamchomoi? Wananchiii....[emoji848][emoji16]moaa
  12. Olomynkunde

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tunaangalia namna ya kutoza Kodi kwenye Huduma za Mtandaoni

    Da! bado Tozo za pumzi tu watatuua mwaka huu
  13. Olomynkunde

    JamiiForums Tanzania Tozo za Miamala: Serikali yapunguza viwango kwa 30%. Watoa huduma za simu waridhia kupunguza 10%

    Sema serikali hili swala naomba waliwaze mara mbili mbili tutaanza kutembea suruale zimetoboka sasa...
  14. Olomynkunde

    JamiiForums Tanzania Wapinga chanjo (Gwajima et al) wana macho lakini hawaoni

    Kaka hebu jaribu kutofautisha siasa na afya bhn katika chanjo zilizopita kuna chanjo watu waliwahi kuchanjwa wakaambiwaa ibapunguza uwezekano tu? Mimi siyo doctor ila naona wakuu wengine wa idara ya afya wametulia wanasema ni waanasubiri kwanza mimi nani nimesoma biashara nihaaarakie haya...
  15. Olomynkunde

    JamiiForums Tanzania Wapinga chanjo (Gwajima et al) wana macho lakini hawaoni

    Kwani chanjo inakufanya usiambukizwe tena? Kama wanavyosema kuwa inapunguza possibility kuadhirika na huu ugonjwa hata nikila mjtishamba na nikavaa barakoa napunguza pia huo uwezekano boss haya mambo siyo ya kuyaharakia sanaaa siwaambie msichanjwe hapana ila mimi bado boss.....
Back
Top Bottom