Recent content by olng'ojine

  1. O

    JamiiForums Tanzania Gharma hiii ni kweli au tumeliwa

    Upigaji live
  2. O

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waujuao mji mkuu wa Namibia, Windhoek nipeni uzoefu na ushauri.

    Windhoek ni mji mzuri na msafi sana..watu ni wakarimu pia. Kuhusu vyakula, mostly wanaimport kutoka South Africa. Sehemu kubwa katika mlo wao ni nyama. Kama walivyotangulia kusema biashara nyingi zinamilikiwa na wazungu au coloured. Kuna social classes, first class ni wazungu wenye asili ya...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Samweli Sitta, fanya mdahalo na wafanyakazi wa TAZARA kwanza

    Mdahalo wa nini...yeye si mwanasheria? Kama ana ushahidi aende mahakamani. Hatudanganyiki kirahisi hivyo. Mdahalo hautamsaidia mtz kupata lilichopetea
  4. O

    JamiiForums Tanzania Kingunge, Kone na Msindai wanaratibu mpango wa kumng'oa Mwenyekiti wa CCM, Kikwete ndani ya NEC

    Lizaboni unaboa na story zako za kufikirika...nadhani ifike mahala ujifanyie self assesment.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe uwe na aibu!

    Mnafki mwingine katika siasa za bongo
  6. O

    JamiiForums Tanzania Bongo Lounge in Guangzhou, China

    Hongera Madina
  7. O

    JamiiForums Tanzania Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

    Naomba namba yake ya simu
  8. O

    JamiiForums Tanzania AG Werema alishastaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria

    Huyu alieandika post lazima ni Mulugo mwenyewe.
  9. O

    JamiiForums Tanzania AG Werema alishastaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria

    Petro ukiingia kwa web site ya bunge mwaka ni 1955
  10. O

    JamiiForums Tanzania Sakata la Tegeta Escrow: Mengi awavaa Masele, Wassira na Maswi

    Hauko serious...kuwekeza kwenye gas kupitia TPDC? Hawa walio inflate gharama mara dufu? Embu shirikisha ubongo wako. Soma repoti ya baraza la ushauri EWURA
  11. O

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Buyuni kinauzwa

    Hizo block ziko kwa namba na wala sio sillabi/herufi.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Buyuni kinauzwa

    Kipo block gani?
  13. O

    JamiiForums Tanzania Nasari agharamia harusi ya shemeji yake huku shule ya msingi alipozaliwa yafungwa kwa kukosa choo

    Mleta mada kilaza sana...watu kama nyie ndio mnaoangusha hadhi ya JF na GT. Think big.
  14. O

    JamiiForums Tanzania Road Safety: Stika za Nenda kwa Usalama ni wizi, tuungane kuupinga

    Dah huyu jamaa hapa round about (Lake Oil) nami kaniambia nikienda kituoni na kupata hizo stika atanirudishia buku 5 na elfu 2 za usumbufu. Huu ni mradi wa wakubwa.
Back
Top Bottom