AG Werema alishastaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria

Osaka Ndugu yangu soma taratibu na uelewe. hakuna haraka yakurukia kwenye kucomment wakati hujaelewa mada yenyewe.

Ungeonekana wa maana kama Heading yako ingekuwa inauliza swali kisha ukaitimisha kwa swali kama ulivyofanya ktk paragraph ya mwisho! NONSENSE!
 
Last edited by a moderator:
Hakuwahi kustaafu uanasheria mkuu wa serikali ndiyo maana kwavile JK amechelewa kumfukuza kazi akaona isiwe taabu amejiuzuru ili kuwapa ahueni akina Mwigulu Nchemba (CCM) wapunguze kasi/wasiendelee kuitwa ESCROW kwenye mikutano.
 
Kumbe rais wetu ni wazi mambo mengi hayajui kama ilivyo kwa mmiliki wa Dowans, kwa nini tu masikini nk.
Ina maana hata hili la kujua kuwa huyu Werema alishastaafu hakulijua hivyo akampongeza kwa masikitiko kuwa angeliendelea kuwemo ofisini!
 
Ungeonekana wa maana kama Heading yako ingekuwa inauliza swali kisha ukaitimisha kwa swali kama ulivyofanya ktk paragraph ya mwisho! NONSENSE!

Ili tukuone wewe wa maana hebu tuoneshe mada ulianzisha kwa heading inayouliza swali na ukahitimisha kwa swali.
 
Kumbe rais wetu ni wazi mambo mengi hayajui kama ilivyo kwa mmiliki wa Dowans, kwa nini tu masikini nk.
Ina maana hata hili la kujua kuwa huyu Werema alishastaafu hakulijua hivyo akampongeza kwa masikitiko kuwa angeliendelea kuwemo ofisini!

Ni wazi kwamba hii nchi ipo kwenye Auto Pilot. Kila mtu anafanya yake.
 
Topic: [size=+2]Jaji Werema hakujiuzulu...[/size]
Content: [size=+2]Kama kweli amejiuzulu...[/size]
 
Hayo ni ya kwako wewe!! afterall kwa maelezo yako mwenyewe (2014 1955); ina maana Muraa Werema is 59 years of age!! sasa unajaribu kutwambia nini??!! kwetu sisi wengine as long as ameondoka kwenye ofisi ya umma; that was our best bargain!!! tumeridhika kabisa; kwa sababu hatuna uhakika kama kuna hatua zaidi zitachukuliwa dhidi yake going by the track record and practice ya serikali hii ya Ma CCM na Cancer yao ya wizi na kulindana! imagine JK amepokea resignation ya mtu anayetuhumiwa kusaidia wizi wa mabilioni ya shilingi then anakubali resignation hiyo na kutoa compliment; Etii!! "mchapa kazi mahiri na mwadilifu" kuna kitu zaidi hapo?! ana miaka mingapi; alisoma wapi; au tafsiri gani hatutaki kujua. bs
 
Du, nilifikiri itaishia kwa JAIRO tu kumbe ndio kwanza mchezo umeanza? Waliaibika kwa kutumia Balali's system sasa wameamua tuendelee kupishana nao barabarani, nchi ngumu sana hii.
 
Lakini ni kama niliwahi kusikia kuwa umri wa kustaafu kwa Majaji ni miaka 60 kwa hiari na 65 kwa lazima. Sina hakika kwa hili labda nisaidiwe, na Werema ana hadhi ya Ujaji.
 
Back
Top Bottom