Recent content by OliverK

  1. OliverK

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Part Time

    Naweza ndo maana ninahitaji
  2. OliverK

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Part Time

    Thank you
  3. OliverK

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Part Time

    Ndio mwaka wa kwanza, Kazi gani hiyo? Me ni ke
  4. OliverK

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Part Time

    Hello members Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuuu mwaka wa kwanza, nahitaji kazi, supermarket, au kuuza duka la nguo, vipodozi nk. Education: DIPLOMA IN PUBLIC ADMINISTRATION LOCATION DAR ES SALAAM Hata kazi ya sales naweza.
  5. OliverK

    JamiiForums Tanzania HESLB: Batch One Out Now

    Samahani, hivi account ya DiDis ni ipi, na unaingiaje?
  6. OliverK

    JamiiForums Tanzania HESLB: Batch One Out Now

    Kama upo karibu na office zao nakushaur uende watakusaidia
  7. OliverK

    JamiiForums Tanzania Second batch HESLB 27/10/2023

    Ingia kwenye beneficiary Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  8. OliverK

    JamiiForums Tanzania Majibu ya HESLB batch ya 3 2023/24

    Relax, wee pesa watakuwekea, tulia na maombi Kwa wingi
  9. OliverK

    JamiiForums Tanzania Majibu ya HESLB batch ya 3 2023/24

    Halafu nyie ndo mnaowapa pressure wenzenu, appeal kitu gani, badala ya kuwatia moyo watu unaleta habari za appeal akati majibu mpk kesho wanaendelea kutoa pesa Me nishapata muda mrefu kaka, ila tupeane moyo
  10. OliverK

    JamiiForums Tanzania HESLB: Batch One Out Now

    Hata me ilikuwa inasoma hivyhivy, weee tulia ndo wanakupangia,
  11. OliverK

    JamiiForums Tanzania HESLB: Batch One Out Now

    Nifundisheni kucaculate asilimia
  12. OliverK

    JamiiForums Tanzania HESLB: Batch One Out Now

    Asante sana, uvumilivu muhimu, wote tutapata
  13. OliverK

    JamiiForums Tanzania HESLB: Batch One Out Now

    Nimepewa dear
Back
Top Bottom