Natafuta kazi ya Part Time

OliverK

Member
Aug 11, 2023
46
25
Hello members

Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuuu mwaka wa kwanza, nahitaji kazi, supermarket, au kuuza duka la nguo, vipodozi nk.

Education: DIPLOMA IN PUBLIC ADMINISTRATION
LOCATION DAR ES SALAAM
Hata kazi ya sales naweza.
 
Ni mwaka wa kwanza kweli? Kuna kazi ila sio part time ni full time mpaka umalize chuo. Jinsia iwe Ke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom