Recent content by Olgilai

  1. Olgilai

    Mtungi wa 15Kg Mihan 43,000, ORYX 51,000; Waziri wa Nishati umekaa kimya!!

    Ila me nawakubali mihan japo natumia oryx swali kwa wadau mnaotumia mihan kuna utofauti wowote wa ujazo
  2. Olgilai

    Shule ina mwalimu mmoja na wanafunzi 195, akisafiri inafungwa

    Halafu sekondari physics, matemátics, biology na chemistry inajifuta automatic kwan hakuna tena waalimu wa temporary
  3. Olgilai

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Aisee nashkuru nimeshaidownlod no kuinstall prom ndo inanizingua kusajili
  4. Olgilai

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii betting inaitwaje wakuu kwan mbet wanatimu change Sana
  5. Olgilai

    Bukoba vs Moshi

    Mjadala kati ya mwanza na arusha ndo itakua imekaa poa Sana
  6. Olgilai

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kiukweli mhindi ananiotea mfululizo Kama Wiki mbili hvi
  7. Olgilai

    Orodha ya walimu wa sayansi waliokamilisha vyeti vyao

    Open wengi hawasomi sayansi ni arts na weng hua no inservice
  8. Olgilai

    Bukoba vs Moshi

    Pia new arusha hotel yenye rang nyekundu mnapo post picha mkumbuke wengne tumezunguka mikoa tote ya nchi hii
  9. Olgilai

    Bukoba vs Moshi

    Jaman ukweli unamuweka mtu huru hlo jengo hapo katikati haipo bukoba ni bugando ipo mwanza na hyo hotel I inayofuata kwa chini ipo mwanza
  10. Olgilai

    Bukoba vs Moshi

    Mimi si bukoba wala moshi lakini kwake niliyoyaona na kuyaskia moshi no zaidi ya matusi kwake bukoba kiukweli wamewaacha mbali Sana
  11. Olgilai

    Bukoba vs Moshi

    Hebu jiulizen swami moja tangia lini umeshawah kusikia mtu katoka mkoani kwenda kutafuta maisha bukoba tatizo IPO pembezoni mno na nchi
  12. Olgilai

    Nimenyimwa ruhusa ya kwenda kujiendeleza kusoma masters, wameniambia nikasome open university

    Kwanza pole Sana ndgu kwa kupotoshwa kuwa open haitambuliki mm degree ya kwanza nimepiga open na nimeajiriwa serikalini na mwakan napiga masters hapo hapo OUT me nikuashauri kuwa swala la ajira linaangalia uwezo wako kwenye interview na sio umesoma chuo gani pia angalia rank za vyuo vikuu dunian...
  13. Olgilai

    Bukoba vs Moshi

    Hebu tuchambue sasa kwa mahitaji ya kijamii Kama shule hospitali Barbara na huduma ya maji .. Kielimu moshi Ina shule nyingi Sana za sekondari na vyuo vya ufundi pamoja na vyuo vikuu Kuhisu afya moshi in a hospitali ya mkoa pamoja na rufaa ya Kcmc poa huduma ya barabara lami mpaka vijijini...
  14. Olgilai

    Bukoba vs Moshi

    Kufananisha bukoba na moshi ni sasa na arusha na mbeya kiukweli moshi ipo huu tena Sana ukilinganisha na bukoba
Back
Top Bottom