Recent content by OLESAIDIMU

  1. OLESAIDIMU

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    Pole sana Mulama, andiko lako limaelezea mengi Mungu amlaze pema.
  2. OLESAIDIMU

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    Mungu aiweke roho yake mahala pema. . . . Tutakumiss dada Dena Amsi
  3. OLESAIDIMU

    JamiiForums Tanzania Are spies made or born?

    Nipo kaka
  4. OLESAIDIMU

    JamiiForums Tanzania Are spies made or born?

    shukraan mkuu, tuendelee kuombeana
  5. OLESAIDIMU

    JamiiForums Tanzania Are spies made or born?

    Once again. . . . . .
  6. OLESAIDIMU

    JamiiForums Tanzania Haruna Masebu alihitajika sana utawala huu wa Magufuli

    Waongeze unaowafahamu hapo kwa list ya mtoa hoja ili wafahamike kwa heshima ya utendaji wao mkk
  7. OLESAIDIMU

    JamiiForums Tanzania Haruna Masebu alihitajika sana utawala huu wa Magufuli

    Kamaanafanya objectively ka misingi na sheria za taaluma yake huo mtindo wa kusakama hauwezi kuwa na manufaa katika zama hizi. . . . .Na hata ikitokea akatoka sababu ya vijishutuma vyeoesi bado tu atakuwa hero katikati ya watu wanaoheshimu taaluma na uzalendo Wachache tutamuelewa come what...
  8. OLESAIDIMU

    JamiiForums Tanzania Haruna Masebu alihitajika sana utawala huu wa Magufuli

    Kusema Kusema ukweli kunataka uhakika sana wa unachokisema na hiyo personality ya kusema ukweli sababu kusema ukweli pia ni tabia ya mtu nje ya utaalamu alionao
  9. OLESAIDIMU

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la mauaji/Ubakaji na udhaifu wa vyombo vya uchunguzi, nini kifanyike?

    Uzi mzuri sana kaka mkubwa sosoliso
  10. OLESAIDIMU

    JamiiForums Tanzania Je, ni HAKI ya mtoto wa Rais kuishi Ikulu ndogo Chamwino ilhali chuoni kuna nafasi ya kukaa?

    Usalama ni mada mtambuka sana. . . . . !!!!
  11. OLESAIDIMU

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa wanafunzi wa UDOM waliorejeshwa nyumbani (ushauri wa kisheria)

    Hivi wahanga wana hii maturity na nguvu ya kutekeleza haya??!!!
  12. OLESAIDIMU

    JamiiForums Tanzania Adam Malima - Kiongozi kijana aliyetoweka akiwa bado anahitajika

    Gone are the days. . . . .
  13. OLESAIDIMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maswali ya Mwanangu kwa Mama yake yamenishtua!

    Acha hofu. . . .. Mtoto wa umri huo anaweza sema mambo meengi tu vile ubongo wake unamuelekeza. . . Kaa naye kwa ukaribu na mapenzi muulize maswali naye atakuuliza yake utamuelewa tu
  14. OLESAIDIMU

    JamiiForums Tanzania Dr. Kigwangallah unapotea, tafuta staili nyingine

    Trial and error. . . . . . . . . .
  15. OLESAIDIMU

    JamiiForums Tanzania Marekani yamuweka Magufuli njiapanda

    Ye ndio atapeleka umeme vijijini??!!! Zinatakiwa njia endelevu za kuenedeleza nchi sio hizo "ransom" kwa jina la kunyimwa misaada sijui kuwekewa vikwazo. . . . . . . Yaani maisha ya watu woote yasubiri kuapishwa mtu mmoja. . . . . . .
Back
Top Bottom