Recent content by olekulet

  1. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu suala la mikopo kwa Shahada ya Uzamili

    Habari za leo Wajamvi wa JF Naomba kama kuna mtu mwenye uelewa na taarifa za uhakika Bodi ya Mikopo Tanzania (HESLB) au kuhusu Ufadhili wa wowote wa kusoma SHAHADA ya UZAMILI anipatie kwa haraka. Nilisomea BSc Wildlife Mgt na G.P.A yangu ni 3.4. Namba za mawasiliano ni 0786224248
  2. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi (BSc Agricultural Economic & Agribussiness Graduate)

    Ni kwel kbsa Boss...ila si unajua ajira ni lazima utafute.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi (BSc Agricultural Economic & Agribussiness Graduate)

    Habari Wana JF. Mimi ni binti, natafuta Kazi inayoendana na elimu yangu. Nina BSc. Agricultural Economics & Agribussiness kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine..SUA. Naweza fanya pia Researches, Bank Credits, Customer Care etc. Kwa mawasiliano 0786224248. N:B Accepts serious calls only related to the...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Wanaume mabonge kulikoni?

    Agata ni "PM" kuna faragha yangu nawe
  5. O

    JamiiForums Tanzania Viwanja Vinauzwa Arusha Manispaa!!

    Habari Mwana JF!! Je unataka kiwanja cha kujenga nyumba Arusha?? Eneo la Nduruma umbali wa 1Km kutoka Nduruma Stand, (35m×70m) milioni 4.5. Kiwanja Arusha Manispaa (20m×25m) milioni 10. Maji, Umeme na barabara zipo. Karibu na wekeza Arusha!! Mawasiliano 0786224248
  6. O

    JamiiForums Tanzania Viwanja Vinauzwa Arusha Manispaa!!

    Habari Wana JF!! Viwanja vinauzwa Arusha Manispaa karibu na kiwanda cha A to Z. Bei ya kiwanja kimoja (20m×25m) ni Milioni 10. Vipo viwanjwa 3 vilivyoungana pamoja. Njoo wekeza maisha ya familia yako Arusha...umeme, maji na barabara zipo. Umbali ni 1Km kutoka barabara ya lami, 6Km kutoka uwanja...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Viwanja Vinauzwa Arusha Manispaa!!

    Sawa Mkuu...ongeza dau, mbona upo karibu sana!!
  8. O

    JamiiForums Tanzania Viwanja Vinauzwa Arusha Manispaa!!

    Sawa Mkuu nimekusoma...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Usishindwe kujenga ramani ya bure

    Ni 20m×25m kwa 10 Milioni...kuna kuongea pia. Vipo vitatu vilivyoungana kwa pamoja ila bei ya juu ni kwa kila kimoja.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Usishindwe kujenga ramani ya bure

    Mkuu...kuna kiwanja cha 10Milioni Arusha Manispaa maeneo ya A to Z Kisongo. Umbali wa takriban 10Km kutoka Arusha mjini. Karibu...0786224248
  11. O

    JamiiForums Tanzania Viwanja Vinauzwa Arusha Manispaa!!

    Mkuu hatuangalii kuwa na pesa mkononi...9millioni...ishu ni bei. Kwa hela yako Mkuu...hatatosha, milioni 8 haitoki. Mwenye milioni 9.5 tunaweza kujadili naye.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Viwanja Vinauzwa Arusha Manispaa!!

    Lete hoja nyingine Mzee...hii ni batili. Sorry...Wana JF kwa mjadala huu...coz lazima ifike mahala tuambiane UKWELI...kwani utatuweka....HURU, kuja na kuliona eneo husika.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Viwanja Vinauzwa Arusha Manispaa!!

    Hahahahaa...nikusaidie tu, maeneo ya Ngulelo na Meru...zipo kwenye Ecologia ya Arusha National Park...afu ni Mountanious region. Jamani wasomi wenzangu...hv maeneo yaliyo karibu na milima...inatabia gani?? Huyu MSOMI anataka kutuambia...tutarajie hayo maeneo yafanane na maeneo tambarare. Na...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Viwanja Vinauzwa Arusha Manispaa!!

    Ishu kubwa sio kubishana hapa...hutaki kaa kimya huna hela, wengine wenye nazo na mawazo CHANYA watakuja...watakagua...wakiridhikaaa...wanalipaaaa.
  15. O

    JamiiForums Tanzania Viwanja Vinauzwa Arusha Manispaa!!

    Mim sio dalali...futa kauli yako. Sio kila mtu anayekuja huku kuuza viwanja ni dalali. Afu...cjui kama unaufahamu wa kuita eneo jangwa!! Yaan...unipe tabia za eneo kuitwa jangwa...ndio nitajua USOMI wako na uelewa wa maeneo ya A to Z upo vzr. Yaan...wazungu waje wawekeze sehemu ya jangwa...isio...
Back
Top Bottom