yaani sijui kwanini mambo yanakuwa vice versa, wanaume wanene wanapenda wanawake wembamba na wanawake wanene wanapenda wanume wembamba

Laws of attraction mkuuPesa sio kila kitu mkuu...Halafu kwa bahati nzuri wanaume vibonge wengi ndio wenye fedha. Cha ajabu wake zao ndio wanaongoza kwa kuchepuka.

Ndo yule mzee alikuwa anamchukua mgoni wake video afu akamsamehe???Angalia hii.... Hata clip ya fumanizi ninayoView attachment 951563
wale jamaa waliimba "supu ys kuku wa kinyeji ni tamu sana"
Wanawake sijui wanatakaga nin?Halafu kwa bahati nzuri wanaume vibonge wengi ndio wenye fedha. Cha ajabu wake zao ndio wanaongoza kwa kuchepuka.
Wanataka ujitume kupiga mzigo, ni hilo tu.Wanawake sijui wanatakaga nin?
Ngoja nimuonyeshe huu Uzi Jamaa yangu hapa karibu akinipa jibu nitarudi
Nadhani unamuhusu sana
😀😀ngoja nianze nisije fumania, na mimi nilivyokuwa na wivu ntakufa kwa puresha siku ya kufumania
Kwan mtu akinenepa na Dushe c inanenepa au inakua vice vesa....?Habari wanajamvi?
Ukifuatilia kwa makini fumanizi nyingi zinazotokea mjini, utakuta aliefumaniwa ni mke wa jamaa bonge bonge na ana kitambi cha utapiamlo. Sasa ukiwa bonge kuna shida gani haswa mpaka mke anaenda kugongwa kwingine?
Mimi mwili unaongezeka nimeamua kufanya mazoezi ya kufa mtu maana hii hali inatishia amani. Na nyie wadada hebu tuambieni kwanini mnatutenda sisi vibonge?

Agata ni "PM" kuna faragha yangu naweKweli kabisa