Natafuta Kazi (BSc Agricultural Economic & Agribussiness Graduate)

olekulet

Member
May 20, 2018
28
10
Habari Wana JF. Mimi ni binti, natafuta Kazi inayoendana na elimu yangu. Nina BSc. Agricultural Economics & Agribussiness kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine..SUA. Naweza fanya pia Researches, Bank Credits, Customer Care etc. Kwa mawasiliano 0786224248.

N:B Accepts serious calls only
related to the above job.
 
Mbona mwaka fulan nilikuwa kwenye bajaj hapo morogoro nikaskia vijana wanabishana kuwa Hii kozi ni dili sana mtaaa na pia graduates wake wanauzika sana kwenye soko la ajira yani siku tu ya kumaliza chuo nje ya geti la chuo unakutana na maboss wa makampun mbali mbali wanawagombania kama mpira wa kona.
 
Mi nilisoma course hiyo hiyo nilakaa bench mwaka mzima. Ila fursa zilivofunguka nilianza hadi kuchagua kazi. Kwenye maswala ya ajira kuna wakati na bahati, vikigongana, hakuna wa kuzuia. Kuwa na subira mkuu,
 
Mi nilisoma course hiyo hiyo nilakaa bench mwaka mzima. Ila fursa zilivofunguka nilianza hadi kuchagua kazi. Kwenye maswala ya ajira kuna wakati na bahati, vikigongana, hakuna wa kuzuia. Kuwa na subira mkuu,
Mkuu unachozungumza ni ukweli...yaani unaweza kaa benchi mda mrefu ila siku milango ikifunguka mpaka unajiuliza kuna nini hapa...unapata kazi nyingi ndani ya kipindi kimoja unabakia kuchagua tu uende wapi
 
Bsc ANEB, hapa mliman wanajishebedua kama vile maisha wameyaweza

Kumbe ajira bado ni ndoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom