King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,371
- 88,577
Bajeti yangu 2m mpaka 4m mkuu.Kwa kukushauri minjingu sio poa,chukua arusha nipe bajeti yako nikushauri
Bajeti yangu 2m mpaka 4m mkuu.Kwa kukushauri minjingu sio poa,chukua arusha nipe bajeti yako nikushauri
Unaweza kupata chenye ukubwa wa 20 x 20 maeneo ya USA kuanzia 1.6M, moshono & njiro kuanzia 7M,murieti kuanzia 5M na unaweza kulipa kidogo kidogoBajeti yangu 2m mpaka 4m mkuu.
Okay nipe mchakato wa Murieti installments zake.Unaweza kupata chenye ukubwa wa 20 x 20 maeneo ya USA kuanzia 1.6M, moshono & njiro kuanzia 7M,murieti kuanzia 5M na unaweza kulipa kidogo kidogo
Mfano kiwanja 6M unaweza kulipa zote,au unatoa 3M baada ya miezi 6 unakamilisha;cha muhimu unaingia mkataba na muuzaji/mwenye eneo (mi nimenufaika kwa njia hii viwanja kadhaa Arusha na Dar)Okay nipe mchakato wa Murieti installments zake.
Ok ngoja nikiweka mzigo kibindoni ntakutafuta nikavione.Mfano kiwanja 6M unaweza kulipa zote,au unatoa 3M baada ya miezi 6 unakamilisha;cha muhimu unaingia mkataba na muuzaji/mwenye eneo (mi nimenufaika kwa njia hii viwanja kadhaa Arusha na Dar)
Ok ngoja nikiweka mzigo kibindoni ntakutafuta nikavione.
Ungeweka nA BOQ yakeNimetoa ramani (floor plan) ina details zote kila kitu ushindwe mwenyewe kujenga...Chukua yote,kama kuna sehemu utashindwa kuelewa micheck PM and I won't charge you....nut sections na baadhi ya michoro haijaandaliwa,ridhika tu na hiyo plan
NB.Iko katika mfumo wa PDF ili details zionekane vizuri
Hapana hiyo inakutosha usipende mtelemko sana....Shukuru kwa hicho kwanzaUngeweka nA BOQ yake
Hapana hiyo inakutosha usipende mtelemko sana....Shukuru kwa hicho kwanzsUngeweka nA BOQ yake
Mkuu...kuna kiwanja cha 10Milioni Arusha Manispaa maeneo ya A to Z Kisongo. Umbali wa takriban 10Km kutoka Arusha mjini. Karibu...0786224248Maeneo yepi huko?
Ni 20m×25m kwa 10 Milioni...kuna kuongea pia. Vipo vitatu vilivyoungana kwa pamoja ila bei ya juu ni kwa kila kimoja.Maeneo yepi huko?
Shukrani mkuu nawe pia ubarikiwe na uwe mwenye afya njemaMungu akubariki saana Sana. Ulichokifanya Mungu atakiongeza hadi ushangae, Mungu akajibu haja ya moyo wako, akuponye na Magonjwa, Vita, Shida na taabu. Utakachogusa kikabarikiwe. Una Roho ya ajabu saana, wengine wanachaji watu hata Kwa kuomba Msaada tu
Sawa mkuuHapana hiyo inakutosha usipende mtelemko sana....Shukuru kwa hicho kwanzs
Ulivyojibu umenigusa utafikiri unananiona nilivyokaa kwenye foreni ya hospitali kumsubiri DOCTOR kwa huduma...Maombi yako yatimieMungu akubariki saana Sana. Ulichokifanya Mungu atakiongeza hadi ushangae, Mungu akajibu haja ya moyo wako, akuponye na Magonjwa, Vita, Shida na taabu. Utakachogusa kikabarikiwe. Una Roho ya ajabu saana, wengine wanachaji watu hata Kwa kuomba Msaada tu
Ulivyojibu umenigusa utafikiri unananiona nilivyokaa kwenye foreni ya hospitali kumsubiri DOCTOR kwa huduma...Maombi yako yatimie
Wap mkuu nami nahitaji tujuze hapa kwa faida ya wengiMkuu kuna viwanja unanunua huku ukilipa kidogokidogo....changamkia hivyo mkuu
Angalia no. 22 mkuuWap mkuu nami nahitaji tujuze hapa kwa faida ya wengi