Viwanja Vinauzwa Arusha Manispaa!!

Viwanja Vinauzwa Arusha Manispaa!!

naona umemaind sana, hii biashara ya udalali huiwezi kama huna hoja, Arusha yote tunaifahamu, hivi maeneo hayo utalinganisha naNgulelo, kwa Mrefu na Meru?
narudia..hilo eneo ni jangwa haijalishi kuwa maji ya bomba yanapatikana
Hahahahaa...nikusaidie tu, maeneo ya Ngulelo na Meru...zipo kwenye Ecologia ya Arusha National Park...afu ni Mountanious region. Jamani wasomi wenzangu...hv maeneo yaliyo karibu na milima...inatabia gani?? Huyu MSOMI anataka kutuambia...tutarajie hayo maeneo yafanane na maeneo tambarare. Na umbali wa Ngulelo na A to Z haifiki hata 15Km. Hzo mvua zinazopita Mt Meru unataka kuniambia haifikagi Kisongo????
 
I think to my opinion, you needed to be send to Court to prove your statement beyond all reasonable doubt!!
Lete hoja nyingine Mzee...hii ni batili. Sorry...Wana JF kwa mjadala huu...coz lazima ifike mahala tuambiane UKWELI...kwani utatuweka....HURU, kuja na kuliona eneo husika.
 
Ila ungeuza kwa 3m saiz ingekuwa tayari una milion 9 zako mkononi Mana tushajitokeza watatu wakwanza wahyo Bei, ila poa ukiiona inafaa nistue tuyajenge
 
Ila ungeuza kwa 3m saiz ingekuwa tayari una milion 9 zako mkononi Mana tushajitokeza watatu wakwanza wahyo Bei, ila poa ukiiona inafaa nistue tuyajenge
Mkuu hatuangalii kuwa na pesa mkononi...9millioni...ishu ni bei. Kwa hela yako Mkuu...hatatosha, milioni 8 haitoki. Mwenye milioni 9.5 tunaweza kujadili naye.
 
Mkuu hatuangalii kuwa na pesa mkononi...9millioni...ishu ni bei. Kwa hela yako Mkuu...hatatosha, milioni 8 haitoki. Mwenye milioni 9.5 tunaweza kujadili naye.
We uelewe ujumbe wangu muda wake ukifika uufanyie Kaz mzee
 
Habari Wana JF!! Viwanja vinauzwa Arusha Manispaa karibu na kiwanda cha A to Z. Bei ya kiwanja kimoja (20m×25m) ni Milioni 10. Vipo viwanjwa 3 vilivyoungana pamoja. Njoo wekeza maisha ya familia yako Arusha...umeme, maji na barabara zipo. Umbali ni 1Km kutoka barabara ya lami, 6Km kutoka uwanja wa ndege Kisongo na 10Km kutoka Arusha mjini. Kuna maongezi pia...kwa mawasiliano 0786224248.
 
Habari Mwana JF!! Je unataka kiwanja cha kujenga nyumba Arusha?? Eneo la Nduruma umbali wa 1Km kutoka Nduruma Stand, (35m×70m) milioni 4.5. Kiwanja Arusha Manispaa (20m×25m) milioni 10. Maji, Umeme na barabara zipo. Karibu na wekeza Arusha!! Mawasiliano 0786224248
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom