Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,954
- 8,924
Kwa kweli kule ni kuzuri na ardhi zimepangwa vizuri. Hata ukinunua 10x10 unapata njia ya Gari kufika kwako.Hivi kule mkuu ni kuzuri ehh....
Maana huwa naona kunataka kuja fanana kama Kwa mromboo....