:frusty:Lazima utakua mtoto wa waziri anayekaribia kupugwa wizarani!kweli mfa maji haachi kutapatapa!avatar yako tu inatosha kutuambia jinsi ulivyo kilaza!nadhani utakua ulizungushwa nchi nyingi ukijaribu kuunga unga elimu yako!Waambie hao magamba hujatukuta humu!:frusty:
wajameni hivi hawa si kwamba ni Opportunistics?sitaki kuamini kama wamesoma alama za nyakati kwa uhalisia hasa!kuna uwezekano mkubwa wameona mwisho wa CCM ni 2015 kwa hiyo wanatafuta pa kuegemea.inabidi watizamwe kwa darubni kali hawa!la sivyo CDM itajikuta ni nyumani kw magamba!
Nadhani njia sahihi ni kumuuliza maswali hasa maeneo ambayo anadhani kuna harufu ya uongo!Sijafahamu kiwango chake cha uelewa ila ni mtu mzima kwa hiyo anweza kujua kama anadanganywa au ila!Ila asikurupuke kutoa hitimisho na awe makini katika kuelewa majibu ya mwenzake!
sidhani kama kuna uhusiano wowote kati ya kuwa na mtoto na kumpenda mtu.Inawezekana Benson anampenda sana Anitha!Pia inategemea walivyoelezana love back ground kama ulivyosema.Kama Benson alimweleza Anitha kuwa alikua na mpenzi na wakaachana na alieleza sababu za wao kuachana na Anitha...
Kama ulivyosema iwe imefanywa na mwanaume au mwanamke haijalishi,pia Haijalishi iwe imesemwa na mwanamke au mwanaume vyote sawa.sasa unakereka nini zaid anaposema mwanamke?au angesema mwanaume ndo ungeridhika na kuona kuwa ni sahihi!Acha mfumo jike banaa!
Mkuu hapo kila mtu amekosea!Ili mtu aunde account kisha aanze kukutongoza upya atakua hakuamini.kutomuamini mpenzi wako wakati tayari mu katika uhusiano ni kosa, kwa mantiki kwamba upo katika uhusiano usiouamini!Kwa upande wa pili alietegeka nae ana kosa!kama wewe ni muaminifu na unathamini...
Ndani ya moyo wako una hatia?namaanisha unahisi umechangia kwa vyovyote vile hayo kutokea?kama moyo wako uko u msafi na unaamini hujapelekea hayo kutokea basi Mpe muda huyo mtoto wa shangazi yako ataelewa kila kitu!Wasiwasi weka kwa mdogo wako na kama unaweza mshauri awe makini na wakaangalie...
Kama anafahamu uelewa wa huyo kijana mimi namshauri amfuate akae nae chini amueleze hisia zake!Sipendi kukubaliana na hii hoja kwamba mwanamke akieleza hisia zake kwa mwanaume basi ataonekana malaya!Lakini awe tayari kukubaliana na matokeo kwani si kila umpendae nae atakupenda kama alivyosema...
Swali lako Dena ni la msingi lakini kwa utamaduni wa Kiafrika ndoa inahusisha kuoa na kuolewa!Ndoa inapovunjika kunatokea kuachwa na kuacha!Mwanaume huacha na mwanamke huachwa!Hivyo basi mtoa mada nae ana hoja ya msingi kusema wanawake wanaachika!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.